Kuna hatari SIMBA 'kunyakuliwa'!

Kuna hatari SIMBA 'kunyakuliwa'!

Truth Matters

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
2,302
Reaction score
4,603
Kwa muda sasa timu ya SIMBA ya Dar es salaam imekuwa ikitamba kuwa na pesa nyingi. Chanzo cha pesa hizi ni mkaubaliano yasiyo rasmi "gentleman agreement" baina ya timu na tajiri Mohamed Dewji ya kununua timu. Makubaliano haya yanaiwezesha SIMBA kuvuta 'advance' ili kuendeshea club.
Hofu yangu ni kuwa aidha kwa makusudi au bahati mbaya Dewji anaweza sitisha mpango wake huo na kudai kurejeshewa pesa zake! Je, SIMBA itakuwa na uwezo wa kurejesha? Vipi akiamua 'take-over' kama ya China kwa Zambia?
 
Kwa muda sasa timu ya SIMBA ya Dar es salaam imekuwa ikitamba kuwa na pesa nyingi. Chanzo cha pesa hizi ni maubaliano yasiyo rasmi "gentleman agreement" baina ya timu na tajiri Mohamed Dewji ya kununua timu. Makubaliano haya yanaiwezesha SIMBA kuvuta 'advance' ili kuendeshea club.

Acha achukue kwani.wewe utaathirika na nini
 
Tambua kwamba tayari klabu ya Simba iliingia makubaliano na Mo Dewji ambapo wanachama wa Simba wanamiliki hisa ya 51% na Mo Dewji anamiliki 49% ya hisa za Simba. Kwa hiyo Simba acha nayo wewe Chura wa jangwani,
Mo ana hisa zake wala hakuna tatizo lolote that is an investment as other business!
 
Mkuu yasiyokuhusu kwanini unakua na hofu nayo? Tulia pambana na hali yako. Kwanza yale mamichango yenu yamefikia wapi?
 
Vijana wa DC Ki.lazer Jerry Muro sijui wana ukurutu wa nchi gani???

Ya Simba tuachie wana Simba. Jirani akila ugali na chumvi yakuhusu nn?
 
Yanga wamenunua Luku pale jangwani kwenye jengo lao? Maana iliisha halafu hela ya kununulia hawakuwa nayo
 
Kwa muda sasa timu ya SIMBA ya Dar es salaam imekuwa ikitamba kuwa na pesa nyingi. Chanzo cha pesa hizi ni maubaliano yasiyo rasmi "gentleman agreement" baina ya timu na tajiri Mohamed Dewji ya kununua timu. Makubaliano haya yanaiwezesha SIMBA kuvuta 'advance' ili kuendeshea club.
Hofu yangu ni kuwa aidha kwa makusudi au bahati mbaya Dewji anaweza sitisha mpango wake huo na kudai kurejeshewa pesa zake! Je, SIMBA itakuwa na uwezo wa kurejesha? Vipi akiamua 'take-over' kama ya China kwa Zambia?
Wenye akili watashughulisha bongo yao kuhusu hii mada yako fikilishi, wale wa jina LA Mh. Aden Rage, mapovu kwa sana.
 
Kwa muda sasa timu ya SIMBA ya Dar es salaam imekuwa ikitamba kuwa na pesa nyingi. Chanzo cha pesa hizi ni maubaliano yasiyo rasmi "gentleman agreement" baina ya timu na tajiri Mohamed Dewji ya kununua timu. Makubaliano haya yanaiwezesha SIMBA kuvuta 'advance' ili kuendeshea club.
Hofu yangu ni kuwa aidha kwa makusudi au bahati mbaya Dewji anaweza sitisha mpango wake huo na kudai kurejeshewa pesa zake! Je, SIMBA itakuwa na uwezo wa kurejesha? Vipi akiamua 'take-over' kama ya China kwa Zambia?
Wenye akili watashughulisha bongo yao kuhusu hii mada yako fikilishi, wale wa jina LA Mh. Aden Rage, mapovu kwa sana.
 
Mkuu yasiyokuhusu kwanini unakua na hofu nayo? Tulia pambana na hali yako. Kwanza yale mamichango yenu yamefikia wapi?
Timu ishauzwa hîyo na msimu ujao mwenye timu analeta mastriker wa kihindi kutoka Bombay
 
Mkuu yasiyokuhusu kwanini unakua na hofu nayo? Tulia pambana na hali yako. Kwanza yale mamichango yenu yamefikia wapi?
Tambua kwamba tayari klabu ya Simba iliingia makubaliano na Mo Dewji ambapo wanachama wa Simba wanamiliki hisa ya 51% na Mo Dewji anamiliki 49% ya hisa za Simba. Kwa hiyo Simba acha nayo wewe Chura wa jangwani,
Mo ana hisa zake wala hakuna tatizo lolote that is an investment as other business!
Nakazia tu ya simba hayamuhusu kabisa
 
Back
Top Bottom