Kuna hatari ya CCM kutoka kuwa chama cha wananchi na kuwa chama cha familia na koo

Tatizo wajumbe hawafanyi kazi yao kisawa sawa. Watu wanapomaliza utendaji wanatakiwa kupisha na wasiendelee kukaa meza za maamuzi ya mwisho.
 
Wewe umechewewa sasa Mgombea anachaguliwa na mtu mmoja Kikwete bila kura wala nini sio familia ni nini. Kikwete ndiye aseme nani awe makamu !!! yaani unasububiri tu
 
Kwa watu Wazima/Wazee(ujasiri)
"Mambo yameparanyika "
"Hali si swari tena"
Kwa vijana(Uchawa)
"Mtu wa Watu"
Na: CHINUA ACHEBE.
 
Hilo lipo wazi yaani utumishi wa umma kwa ngazi ya maamuzi na chama ni koo chache zimejipachika halafu masikini wengine wamebaki kushangilia wajinga akina Lucas Mwashambwa
 
Ndiyo vizuri ili wafurushwe kuongoza nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…