Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umechewewa sasa Mgombea anachaguliwa na mtu mmoja Kikwete bila kura wala nini sio familia ni nini. Kikwete ndiye aseme nani awe makamu !!! yaani unasububiri tuWananchi na wanachama wa CCM msipokuwa makini ,kuna hatari ya chama kutoka kuwa chama cha mapinduzi na kuwa chama cha familia na koo tu.
Hapa nazungumzia hasa katika ngazi ya juu ya kiutawala ya chama hiki, nafasi ya Urais katika utawala na siasa.
Familia fulani na koo fulani zinaelekea kukikumbata chama.
Najua hamuwezi kunielewa kwa sasa, ila baadae mtaelewa.
Hawa watakuwa wanawake wa kizimkazi hawa
🤣Hawa watakuwa wanawake wa kizimkazi hawa
Hilo lipo wazi yaani utumishi wa umma kwa ngazi ya maamuzi na chama ni koo chache zimejipachika halafu masikini wengine wamebaki kushangilia wajinga akina Lucas MwashambwaWananchi na wanachama wa CCM msipokuwa makini ,kuna hatari ya chama kutoka kuwa chama cha mapinduzi na kuwa chama cha familia na koo tu.
Hapa nazungumzia hasa katika ngazi ya juu ya kiutawala ya chama hiki, nafasi ya Urais katika utawala na siasa.
Familia fulani na koo fulani zinaelekea kukikumbata chama.
Najua hamuwezi kunielewa kwa sasa, ila baadae mtaelewa.
Tuukate kabisa huu ujingaInasikitisha sana
Ndiyo vizuri ili wafurushwe kuongoza nchi.Wananchi na wanachama wa CCM msipokuwa makini ,kuna hatari ya chama kutoka kuwa chama cha mapinduzi na kuwa chama cha familia na koo tu.