Kuna hati hati ya U.S na U.K kuingia mzigoni kumuunga mkono Israel

Mrusi na Mchina wapo kwenye Muungano wa Kikundi kimoja na Iran inayoitwaje ile vile Brics Group? Kwa hio kweli Group member mwenzenu anachapwa nyie mnamtazama tu kweli?
BRICS sio military alliance hivi kwa nini Watanzania wengi ni wajinga sana licha ya kumiliki simu janja ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…