Kaacha alama gani? Hebu acha imma CHAWA weeeGeorge Weah alikuwa mchezaji tu lakini alifanikiwa kimaisha hadi kuwa Rais wa Liberia
1. Aisee leo nimeshangaa sana tumefuzu kwa shida shida hivyo hivyo kuingia 16 bora bado kuna watanzania wenzetu bado wanakejeli na hawa hawa ndo tunataka wawe wanaonewa huruma wakifinywa ,
Wengi wanatoa sababu eti maji hakuna mara hiki hakuna , sawa kweli nchi inaweza ikawa inashughughulikia maji na hospitali tu na vingine vyote vikaachwa? ni Ulofa na upumbavu, tena michezo music na sanaaa inasaidia sana kukuza vipaji vya wale ambao darasani sio mahali pao na hawajajaliwa kupenda kukesha huko hii inakuwa njia yao halali ya kujipatia kipato.
George Weah alikuwa mchezaji tu lakini alifanikiwa kimaisha hadi kuwa Rais wa Liberia , ebu tuacheni ujinga wa kukejeli kila kitu kutoka kwetu hata kama kuna msiompenda SAMIA keshakuwa hamna namna mchukieni yeye kama mtu tena kwa staha lakini taasisi ya urais, yeye na hadhi yake ya urais mpeni kosoeni kwa ukweli sio hisia tu za chuki na kuongezewa na mange kimambi na Maria Sarungi ,
Mimi kwangu Rais bora kabisa alikuwa magufuli kwa sababu aliweza kupambana na vilkivyoshindika na washenzi walikoma kweli kweli lakini Samia hajaonyesha failure bado i sio mkali hivyo anachezewa kidogo na wa chini yake
HERI YA MWAKA MPYA
TUISHANGILIENI WOTE TAIFA STAR TAREHE 4 JANUARY TUWASHANGAZE WAMOROCCO ASUBUHI NJEMA MNAOWAHI KUAMKA KAMA MIMI
Samia ni mpango wa Mungu, haters wake watabaki wakiumia zaidi siku baada ya siku maana Kila akigusacho kinageuka kuwa dhahabu.1. Aisee leo nimeshangaa sana tumefuzu kwa shida shida hivyo hivyo kuingia 16 bora bado kuna watanzania wenzetu bado wanakejeli na hawa hawa ndo tunataka wawe wanaonewa huruma wakifinywa ,
Wengi wanatoa sababu eti maji hakuna mara hiki hakuna , sawa kweli nchi inaweza ikawa inashughughulikia maji na hospitali tu na vingine vyote vikaachwa? ni Ulofa na upumbavu, tena michezo music na sanaaa inasaidia sana kukuza vipaji vya wale ambao darasani sio mahali pao na hawajajaliwa kupenda kukesha huko hii inakuwa njia yao halali ya kujipatia kipato.
George Weah alikuwa mchezaji tu lakini alifanikiwa kimaisha hadi kuwa Rais wa Liberia , ebu tuacheni ujinga wa kukejeli kila kitu kutoka kwetu hata kama kuna msiompenda SAMIA keshakuwa hamna namna mchukieni yeye kama mtu tena kwa staha lakini taasisi ya urais, yeye na hadhi yake ya urais mpeni kosoeni kwa ukweli sio hisia tu za chuki na kuongezewa na mange kimambi na Maria Sarungi ,
Mimi kwangu Rais bora kabisa alikuwa magufuli kwa sababu aliweza kupambana na vilkivyoshindika na washenzi walikoma kweli kweli lakini Samia hajaonyesha failure bado i sio mkali hivyo anachezewa kidogo na wa chini yake
HERI YA MWAKA MPYA
TUISHANGILIENI WOTE TAIFA STAR TAREHE 4 JANUARY TUWASHANGAZE WAMOROCCO ASUBUHI NJEMA MNAOWAHI KUAMKA KAMA MIMI
Go Mama Samia gooooooo, haters wanazidi kuchanganyikiwa Huku.....wamebaki wanabwabwaja Kila aina ya ujinga na uzushi.Mauaji ya watanzania zaidi ya elfu kumi hayawezi kusahaulika kwa kuishangilia timu isiyo na faida wala impact yoyote kwa maisha ya watanzania.
Ushindi wetu mkubwa upo njiani na umekaribia ambao ni kumuondosha na kumfurusha nduli Samuya na serikali yake batili madarakani.
Yanga waliichangia CCM, Mechi za Yanga na Simba watu wanaruhusiwa kubeba mabango ya mama yao ila hawaruhusiwi kubeba mabango ya LissuSidhani kama ni busara kuihusisha tema ya mpira ya taifa na mambo ya kisiasa,
Hata sheria za FIFA zimekataza hilo,wanaoichukia team ya taifa kwa mrengo wa kisiasa na wanaoipenda team ya taifa kwa mrengo wa kisiasa,wote wanafanya makosa,
Team ya taifa itakumbukwa kwa record za FIFA kama team ya Tanzania na sio team ya chama chochote cha kisiasa,michezo huwaunganisha watu na sio kuwagawa watu,
Linapokuja suala la kitaifa kama team ya mpira ni vizuri watu kuweka tofauti zao pembeni,
mfano ukiangalia team ya taifa ya Iraq ina wachezaji kutoka different sects,notably Shia,Sunni and Kurdish,ila hua wanaungana kuishangilia team yao na wachezaji hucheza kwa kushirikiana na kusahau tofauti zao,2007 walifanikiwa kushinda kombe la Asian Cup na nchi nzima walishangilia ushindi ule,so michezo itumike kuwaunganisha watu coz hata sheria za FIFA zipo wazi kabisa kukataza siasa kuingilia Soka,
Haya ni maoni yangu kama mdau wa soka,sipo upande wowote ule Politically.
Kukejeli Taifa stars na kutoishangilia au hata kushangilia ifungwe ni kosa kisheria hadi unataka washughulikiwe?? Nyie watu kwa nini mnakuwa wakosa akili hivi!1. Aisee leo nimeshangaa sana tumefuzu kwa shida shida hivyo hivyo kuingia 16 bora bado kuna watanzania wenzetu bado wanakejeli na hawa hawa ndo tunataka wawe wanaonewa huruma wakifinywa ,
Wengi wanatoa sababu eti maji hakuna mara hiki hakuna , sawa kweli nchi inaweza ikawa inashughughulikia maji na hospitali tu na vingine vyote vikaachwa? ni Ulofa na upumbavu, tena michezo music na sanaaa inasaidia sana kukuza vipaji vya wale ambao darasani sio mahali pao na hawajajaliwa kupenda kukesha huko hii inakuwa njia yao halali ya kujipatia kipato.
George Weah alikuwa mchezaji tu lakini alifanikiwa kimaisha hadi kuwa Rais wa Liberia , ebu tuacheni ujinga wa kukejeli kila kitu kutoka kwetu hata kama kuna msiompenda SAMIA keshakuwa hamna namna mchukieni yeye kama mtu tena kwa staha lakini taasisi ya urais, yeye na hadhi yake ya urais mpeni kosoeni kwa ukweli sio hisia tu za chuki na kuongezewa na mange kimambi na Maria Sarungi ,
Mimi kwangu Rais bora kabisa alikuwa magufuli kwa sababu aliweza kupambana na vilkivyoshindika na washenzi walikoma kweli kweli lakini Samia hajaonyesha failure bado i sio mkali hivyo anachezewa kidogo na wa chini yake
HERI YA MWAKA MPYA
TUISHANGILIENI WOTE TAIFA STAR TAREHE 4 JANUARY TUWASHANGAZE WAMOROCCO ASUBUHI NJEMA MNAOWAHI KUAMKA KAMA MIMI
You are out of my topic,Yanga waliichangia CCM, Mechi za Yanga na Simba watu wanaruhusiwa kubeba mabango ya mama yao ila hawaruhusiwi kubeba mabango ya Lissu
Ungeanza kupinga CCM walioingiza siasa kwenye mpira, hii nchi sasa hivi raia wengi ni kama wameamka, ukimwaga mboga na wao wanamwaga ugali wote mlale njaa, unavyokuja ndivyo unavyopokelewa, hapo ndipo CCM ilipotufikisha wote.You are out of my topic,
Nimeongelea team ya taifa,
Soma tena comment yangu kwa umakini zaidi,
Point yangu nyingine nimepinga kuingiza siasa kwenye soka,haijalishi ni nani kaingiza siasa kwenye soka.
Hivi wewe una akili timamu kweli? au ndio umekariri kua kila mtu yupo kwenye hayo mabishano ya vyama vya siasa? kuna sehemu yeyote nimetaja chama chochote cha kisiasa?Ungeanza kupinga CCM walioingiza siasa kwenye mpira, hii nchi sasa hivi raia wengi ni kama wameamka, ukimwaga mboga na wao wanamwaga ugali wote mlale njaa, unavyokuja ndivyo unavyopokelewa, hapo ndipo CCM ilipotufikisha wote.
Wapumbavu ni nyie mnaofikiria mpira ni kiunganishi cha watu waliogawanyika hadi kufikia wengine kuuwawa. Watu ku protests injustices kwa njia yoyote ile ni haki yao na hamna haki ya kuwapingia wafanye vipi protest dhidi ya watesi wao.Hivi wewe una akili timamu kweli? au ndio umekariri kua kila mtu yupo kwenye hayo mabishano ya vyama vya siasa? kuna sehemu yeyote nimetaja chama chochote cha kisiasa?
Kama umeshindwa kuielewa comment yangu basi pita kushoto,wenye akili timamu wataielewa comment yangu,
hayo mabishano yako ya kipumbavu unayotaka kuyaleta kwangu katafute wapumbavu wenzako ndio ubishane nao.