Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Watanzania wakati mwingine ukitafakari sana tunazaliwa na aina fulani ya uendawazimu, JPM alipambania mno Tanzania akaishia kuletewa dharau za kipimbi.1. Aisee leo nimeshangaa sana tumefuzu kwa shida shida hivyo hivyo kuingia 16 bora bado kuna watanzania wenzetu bado wanakejeli na hawa hawa ndo tunataka wawe wanaonewa huruma wakifinywa ,
Wengi wanatoa sababu eti maji hakuna mara hiki hakuna , sawa kweli nchi inaweza ikawa inashughughulikia maji na hospitali tu na vingine vyote vikaachwa? ni Ulofa na upumbavu, tena michezo music na sanaaa inasaidia sana kukuza vipaji vya wale ambao darasani sio mahali pao na hawajajaliwa kupenda kukesha huko hii inakuwa njia yao halali ya kujipatia kipato.
George Weah alikuwa mchezaji tu lakini alifanikiwa kimaisha hadi kuwa Rais wa Liberia , ebu tuacheni ujinga wa kukejeli kila kitu kutoka kwetu hata kama kuna msiompenda SAMIA keshakuwa hamna namna mchukieni yeye kama mtu tena kwa staha lakini taasisi ya urais, yeye na hadhi yake ya urais mpeni kosoeni kwa ukweli sio hisia tu za chuki na kuongezewa na mange kimambi na Maria Sarungi ,
Mimi kwangu Rais bora kabisa alikuwa magufuli kwa sababu aliweza kupambana na vilkivyoshindika na washenzi walikoma kweli kweli lakini Samia hajaonyesha failure bado i sio mkali hivyo anachezewa kidogo na wa chini yake
HERI YA MWAKA MPYA
TUISHANGILIENI WOTE TAIFA STAR TAREHE 4 JANUARY TUWASHANGAZE WAMOROCCO ASUBUHI NJEMA MNAOWAHI KUAMKA KAMA MIMI
Samia kaendeleza pale pale alipoishia leo hii watu wanakuja na sababu za kilofa kabisa za kudharau anayoyafanya.
Alichokifanya Samia ni kile ambacho hayati JPM aliahidi kukifanya iwapo watu wangeandamana wakati yeye akiwa Rais.
Uendawazimu wa kutoka kwenye matumbo ya mama zetu unatusumbua.