Matako wewe huwezi kuitafuta furaha kwenye mpira huku umeondoa uhai wa wananchi wako kwa mamia bila sababu za msingi, uhai wa mtu ni zaidi ya mupira hiyo mkuma wewe1. Aisee leo nimeshangaa sana tumefuzu kwa shida shida hivyo hivyo kuingia 16 bora bado kuna watanzania wenzetu bado wanakejeli na hawa hawa ndo tunataka wawe wanaonewa huruma wakifinywa ,
Wengi wanatoa sababu eti maji hakuna mara hiki hakuna , sawa kweli nchi inaweza ikawa inashughughulikia maji na hospitali tu na vingine vyote vikaachwa? ni Ulofa na upumbavu, tena michezo music na sanaaa inasaidia sana kukuza vipaji vya wale ambao darasani sio mahali pao na hawajajaliwa kupenda kukesha huko hii inakuwa njia yao halali ya kujipatia kipato.
George Weah alikuwa mchezaji tu lakini alifanikiwa kimaisha hadi kuwa Rais wa Liberia , ebu tuacheni ujinga wa kukejeli kila kitu kutoka kwetu hata kama kuna msiompenda SAMIA keshakuwa hamna namna mchukieni yeye kama mtu tena kwa staha lakini taasisi ya urais, yeye na hadhi yake ya urais mpeni kosoeni kwa ukweli sio hisia tu za chuki na kuongezewa na mange kimambi na Maria Sarungi ,
Mimi kwangu Rais bora kabisa alikuwa magufuli kwa sababu aliweza kupambana na vilkivyoshindika na washenzi walikoma kweli kweli lakini Samia hajaonyesha failure bado i sio mkali hivyo anachezewa kidogo na wa chini yake
HERI YA MWAKA MPYA
TUISHANGILIENI WOTE TAIFA STAR TAREHE 4 JANUARY TUWASHANGAZE WAMOROCCO ASUBUHI NJEMA MNAOWAHI KUAMKA KAMA MIMI
Naomba timu fake ya taifa star ifungwe hiyo tarehe 4 January. Na hakika itafungwa.1. Aisee leo nimeshangaa sana tumefuzu kwa shida shida hivyo hivyo kuingia 16 bora bado kuna watanzania wenzetu bado wanakejeli na hawa hawa ndo tunataka wawe wanaonewa huruma wakifinywa ,
Wengi wanatoa sababu eti maji hakuna mara hiki hakuna , sawa kweli nchi inaweza ikawa inashughughulikia maji na hospitali tu na vingine vyote vikaachwa? ni Ulofa na upumbavu, tena michezo music na sanaaa inasaidia sana kukuza vipaji vya wale ambao darasani sio mahali pao na hawajajaliwa kupenda kukesha huko hii inakuwa njia yao halali ya kujipatia kipato.
George Weah alikuwa mchezaji tu lakini alifanikiwa kimaisha hadi kuwa Rais wa Liberia , ebu tuacheni ujinga wa kukejeli kila kitu kutoka kwetu hata kama kuna msiompenda SAMIA keshakuwa hamna namna mchukieni yeye kama mtu tena kwa staha lakini taasisi ya urais, yeye na hadhi yake ya urais mpeni kosoeni kwa ukweli sio hisia tu za chuki na kuongezewa na mange kimambi na Maria Sarungi ,
Mimi kwangu Rais bora kabisa alikuwa magufuli kwa sababu aliweza kupambana na vilkivyoshindika na washenzi walikoma kweli kweli lakini Samia hajaonyesha failure bado i sio mkali hivyo anachezewa kidogo na wa chini yake
HERI YA MWAKA MPYA
TUISHANGILIENI WOTE TAIFA STAR TAREHE 4 JANUARY TUWASHANGAZE WAMOROCCO ASUBUHI NJEMA MNAOWAHI KUAMKA KAMA MIMI
nimeanza kukujibu wewe kwa sababu ya neno lako la kwanza, ni kweli kabisa nina matako na wewe unayo kwa hiyo sio tusi, pili chararaaaa usicharare ubongo na akili majambazi wasingeingia mtaani wasingekufa na kusababishia wengine vifo japo nasononeka vilikuwa vichache sana na wahuni wameshika adabu walikuwa wanapapasa matako ya serikali wamejua yakoje naona tarehe 9 december na 25 kila mbwa koko alijua pa kujificha kale ka kiburi cha kudhani watamwagiwa maji ya kuwasha kameisha , ni shaba fumua ubongo tu ukijizimisha dataMatako wewe huwezi kuitafuta furaha kwenye mpira huku umeondoa uhai wa wananchi wako kwa mamia bila sababu za msingi, uhai wa mtu ni zaidi ya mupira hiyo mkuma wewe
Ipende nchi yako ndugu na vitu vyake siasa iskufanye huoni, Dr slaaa alikuwa mwanasiasa mkali na mbabe kwelikweli akawasaliti chadema dk za mwisho, Joshua nasari, KATAMBI, mwambe, dr mashinji , maeya karibu 6 wote wa zamani sasahivi wapo ccm , sasa ukijifanya mkereketwa kuliko ukereketwa, Mbowe mzeee wa komaa kamanda yupo leo? siasa sio ipende nchi kwanzaNaomba timu fake ya taifa star ifungwe hiyo tarehe 4 January. Na hakika itafungwa.
Timu inayopata support kutoka kwa raisi fake, form four failure ni timu fake na ni timu iliyofail tayari.
tutashinda japo kwa mbinde hiyo tarehe 4Naomba timu fake ya taifa star ifungwe hiyo tarehe 4 January. Na hakika itafungwa.
Timu inayopata support kutoka kwa raisi fake, form four failure ni timu fake na ni timu iliyofail tayari.
Ipende nchi yako kwanzaHii timu ikipigwa bao ni sawa na samuya kupigwa bao so kama mwananchi mzalendo wa Tz jana nimeumia sana stars kutokupigwa walau bao 2!
Tunisia wangese sana!
kweli kabisa nauunga mkonoTunajua siasa hutawala nyanja zote, pamoja hilo kwa hili la taifa stars kupata mafanikio tuungane kwa pamoja katika ku celebrate excitment archieve. Rais Samia ndiye kiongozi mkuu wa nchi anaongoza watanzania katika ku celebrate mafanikio ya timu ya taifa iliyoyapata kiitifaki. Mambo kama haya taifa huungana na kuacha tofauti za kisiasa na tofauti zingine, this is a something amazing incidentlly
mpira kiunganishi, waliogawanyika nani na nani? na kwa nini? ebu usi generalize mamboWapumbavu ni nyie mnaofikiria mpira ni kiunganishi cha watu waliogawanyika hadi kufikia wengine kuuwawa. Watu ku protests injustices kwa njia yoyote ile ni haki yao na hamna haki ya kuwapingia wafanye vipi protest dhidi ya watesi wao.
Samia ni mpango wa Mungu, haters wake watabaki wakiumia zaidi siku baada ya siku maana Kila akigusacho kinageuka kuwa dhahabu.
Ko magu ndio SI unit vipi Serikali yake haikuteka na kuuaMimi kwangu Rais bora kabisa alikuwa maguful
Hao wote unaowasema walitishwa na kununuliwa na CCM. Kuipenda nchi ni kuichukia CCM inayoua, iba, kubaka etc. Iwe the so called taifa star, kama inapata sapport kutoka kwa wauaji na CCM na inakubali hiyo support, hiyo kwangu ni Noo Nooo.Ipende nchi yako ndugu na vitu vyake siasa iskufanye huoni, Dr slaaa alikuwa mwanasiasa mkali na mbabe kwelikweli akawasaliti chadema dk za mwisho, Joshua nasari, KATAMBI, mwambe, dr mashinji , maeya karibu 6 wote wa zamani sasahivi wapo ccm , sasa ukijifanya mkereketwa kuliko ukereketwa ndo unajikuta kijiti kimezama mkunduni, Mbowe mzeee wa komaa kamanda yupo leo? siasa sio ipende nchi kwanza
Kama wameamka mbona hawajaisusia yanga iliyo changia mpaka kampeni za ccm?Ungeanza kupinga CCM walioingiza siasa kwenye mpira, hii nchi sasa hivi raia wengi ni kama wameamka, ukimwaga mboga na wao wanamwaga ugali wote mlale njaa, unavyokuja ndivyo unavyopokelewa, hapo ndipo CCM ilipotufikisha wote.
slaaa alitishwa? mbowe ametishwa? lipumba alitishwaÉ6Hao wote unaowasema walitishwa na kununuliwa na CCM. Kuipenda nchi ni kuichukia CCM inayoua, iba, kubaka etc. Iwe the so called taifa star, kama inapata sapport kutoka kwa wauaji na CCM na inakubali hiyo support, hiyo kwangu ni Noo Nooo.
Na niamini nachosema hiyo the so called Taifa star itafungwa magori mengi tu hiyo tarehe 4. Yaani nitafurahi sana