Kuna hawa washenzi wanaobeza hata pongezi ya Taifa Stars

Kama wameamka mbona hawajaisusia yanga iliyo changia mpaka kampeni za ccm?

Timu ya taifa ilisha poteza mvuto miaka mingi sana na wala hakuna mahusiano na kilicho tokea October 29.
ndo maana nahamasisha turudishe uzalendo sio kwa mpira tu kwa michezzo yote watu wetu wakishiriki nje
 
Kama wameamka mbona hawajaisusia yanga iliyo changia mpaka kampeni za ccm?

Timu ya taifa ilisha poteza mvuto miaka mingi sana na wala hakuna mahusiano na kilicho tokea October 29.
Unaona tena hizi timu zikipata engagement ya maana mtandaoni?! Hata mtaani mijadala yake imepungua sana, waliobaki wanapiga kelele zaidi kwenye vi onlineTV ni machawa zaidi wanaolipwa na hizo timu.
 
Sidhani kama ni busara kuihusisha team ya mpira ya taifa na mambo ya kisiasa,
Hata sheria za FIFA zimekataza hilo,wanaoichukia team ya taifa kwa mrengo wa kisiasa na wanaoipenda team ya taifa kwa mrengo wa kisiasa,wote wanafanya makosa,
Mbona timu ya Russia imehusishwa na siasa hadi kuondolewa kushiriki?

Trump kazuia washabiki wa Iran kombe la dunia mbona USA haijafungiwa?

Kingine FIFA imezuia serikali kuingilia maamuzi ya kimpira. Ila Samia aliwahi kuwaita simba na yanga ikulu ili kumaliza sintofahamu ya mchezo wao.

Same to magoli ya mama yametumika kisiasa kama kampeni mwaka jana ila sikuona mkisema ni siasa.

Acheni unafiki,
 
Kwa hili la mafanikio ya timu ya taifa tuache siasa za mirengo wajuba. Tuitakie timu ya taifa mafanikio makubwa ifanikiwe kufanya maajabu duniani. Tuitakie ushindi wa AFCON iwe bingwa kabisa
Hata mechi sikuangalia, na hao Morocco watatufunga zaidi ya 7. Yanatumika kisiasa alafu bado mnataka tuwashabikie?
 
Tatizo watu kama wewe hua mnafikiri kua kila mtu hua anajadili mada coz anaushabiki wa kisiasa kwenye chama fulani,

Ni kweli Russia ilifikwa na jambo hilo,hata mmiliki wa Chelsea Abromovich ambaye ni Mrussia ilibidi aiuze Chelsea kutokana na pressure ya kisiasa ya nje ya nchi yake,

Mifano yako ipo nje ya hoja yangu,hapa mimi naongelea wananchi na team yao ya taifa,wewe unaongelea external pressure zilizoelekezwa kwenye mpira wa nchi nyingine,ni kweli kuingiza siasa kwenye mpira ni makosa kwa mujibu wa sheria za FIFA ila watu kuvunja sheria haimaanishi kua sheria hizo hazipo,

Ungeweka mifano yako kua kuna nchi fulani wananchi wake waliisusia team yao ya taifa kwa sababu fulani,hapo tungekua tunajadili jambo moja.
 
Kwakuwa unaamini kwenye kuwafinya wewe wafinye tu.
 
Mifano yako ipo nje ya hoja yangu,
Hapana ipo ndani, nimekupa mifano kwamba hata hao FIFA ni wanafiki tu ndio maana Russia ilifungiwa ila Trump kuzuia washabiki wa Iran kisa siasa hajafungiwa. So usi base hoja yako kwenye FIFA!!

Ungeweka mifano yako kua kuna nchi fulani wananchi wake waliisusia team yao ya taifa kwa sababu fulani,hapo tungekua tunajadili jambo moja.
Iran national anthem booed by own fans at World Cup, video shows

Hii hapo video washabiki wa Iran wakizomea wachezaji wake world cup 2022 kule Qatar. In fact walipotolewa wananchi wa Iran walishangilia!! Sababu walijiweka mbali na maandamano na kujifungamanisha na Ayatollah!!
 
Kwa hiyo kuua ni siasa? Nani duniani aweza muumba binadamu? Siasa huleta maendeleo ya wananchi na sio mauaji.Hao FIFA pua wanaelewa kuwa siasa sio mauaji tena ya halaiki
.
 
Hapana ipo ndani, nimekupa mifano kwamba hata hao FIFA ni wanafiki tu ndio maana Russia ilifungiwa ila Trump kuzuia washabiki wa Iran kisa siasa hajafungiwa. So usi base hoja yako kwenye FIFA!!
Sio FIFA tu,hizi international organization nyingi zipo kwa maslahi ya nchi zingine zaidi,ndio maana Israel ameua watu wengi wasio na hatia kule Gaza ila aliendelea tu kushiriki michuano ya Europe japa Russia yeye alipigwa Ban! watu walilipigia kelele jambo hili kua ni double standard na kutaka Israel nae angesimamaishwa kushiriki soka la kimataifa ila haikua hivyo,
so hoja yangu bado ipo pale pale kwa wananchi kususia national team yao,bado mifano yako ipo nje ya hoja yangu,hoja yako ni baina ya nchi na nchi,hoja yangu ni internal.
Jipe muda zaidi uifuatilie hii issue kwanza,naona umeenda tu ukacopy kisha ukapaste,sidhani hata kama umefuatilia kilichomo humo.
 
Unaona tena hizi timu zikipata engagement ya maana mtandaoni?! Hata mtaani mijadala yake imepungua sana, waliobaki wanapiga kelele zaidi kwenye vi onlineTV ni machawa zaidi wanaolipwa na hizo timu.
Sio kweli hata kidogo maana tangu matukio ya October 29 hizi timu zimecheza mechi nyingi na watu wanajazana uwanjani na kwenye vibanda umiza kwenda kuzitazama.
Hata hao wasanii wanao dai kuwasusia lakini miziki yao hawajaifuta kwenye simu na laptop zao ,kila siku wanalipia vingamuzi ili waweze kuangalia miendelezo ya jua kali na kombolela inayo chezwa na chawa wa ccm.
Mwamposa ni chawa mkuu wa samia na alichangia kampeni za ccm lakini kila siku kwenye kanisa lake kuna mafuliko ya watu.
Matukio ya October 29 yana nguvu sana mitandaoni lakini huku mtaani hakuna uhalisia wa hii nguvu iliyo mtandaoni.
Narudia tena timu ya taifa ilisha poteza mvuto tangu zamani na kilicho sababisha ni usimba na uyanga ya kwamba kocha akiita wachezaji wengi kutoka yanga basi mashabiki wa simba wataiponda na kuiombea mabaya na yanga hivyo hivyo.
 
Spain-kwa sababu ya Ishu ya mikoa ya Catalan na Basque
Misri mwaka 2011 hadi 2013 wakati wa harakati za maandamano
 
Matako wewe huwezi kuitafuta furaha kwenye mpira huku umeondoa uhai wa wananchi wako kwa mamia bila sababu za msingi, uhai wa mtu ni zaidi ya mupira hiyo mkuma wewe
Huwezi muda wote ukawa unataka taifa liwe linaomboleza. Kocha Gamondi jana kawapa heshima wote waliokufa siku ile maisha lazima yaendelee.
 
Tuwasamehe Bure ni MANYUMBU tu...unajua Tabia za manyumbu? Yako kama mazuzu...yanajiendea tu bila mipango...hapo kwanza roho zinawauma Ile mbaya mana walishapanga kufanya sherehe za kejeli mana si kwa matusi makubwa makubwa na laana walizokua wanawapa wachezaji wa taifa stars na kocha wao..leo hii Mungu si athuman kawaibisha wamebaki wanashangaa na kutukana ovyo..ghafla Kauli ya gamondi ikawarejesha mchezoni na wakamuona gamondi ni shujaa kwa Kauli Ile, ila kumbuka hapo nyuma walikua wanamtukana matusi ya nguoni na kumuombea afungwe na asifuzu, ghafla wamebadilika, unaona tabia za KINYUMBU kabisa...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΊπŸ» Hapo Sasa wanatamani afukuzwe kazi ama atekwe ili wapate sababu ya kuanza movement
 
Matukio ya October 29 yana nguvu sana mitandaoni lakini huku mtaani hakuna uhalisia wa hii nguvu iliyo mtandaoni.
Kumbe huku mitandaoni ni maroboti sio binadamu? Yaani hawa wanaochat JF au Twitter hawapo mtaani pia?

Useless
 
Ina maana haujui kabisa kwa nini watu hawana furaha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…