Kuna hawa washenzi wanaobeza hata pongezi ya Taifa Stars

Watanzania wakati mwingine ukitafakari sana tunazaliwa na aina fulani ya uendawazimu, JPM alipambania mno Tanzania akaishia kuletewa dharau za kipimbi.

Samia kaendeleza pale pale alipoishia leo hii watu wanakuja na sababu za kilofa kabisa za kudharau anayoyafanya.

Alichokifanya Samia ni kile ambacho hayati JPM aliahidi kukifanya iwapo watu wangeandamana wakati yeye akiwa Rais.

Uendawazimu wa kutoka kwenye matumbo ya mama zetu unatusumbua.
 
Kwa hiyo watu wapangiwe hisia zao ziweje kama unavyotaka wewe?Bloody makalio!
 
Mtanzania hawezi kukumbuka kuipongeza Stars yeye muda wote anajiona ana haki ya kulalamika kisa kuna kitu fulani kinapungua maishani mwake.

Tunadhani tuna haki sana watanzania, mpaka tunapitiliza yaani.
 
Matako wewe huwezi kuitafuta furaha kwenye mpira huku umeondoa uhai wa wananchi wako kwa mamia bila sababu za msingi, uhai wa mtu ni zaidi ya mupira hiyo mkuma wewe
Ukiona wamekufa watu mia tano jua mahospitalini wamezaliwa elfu moja kuja kuziba pengo la hao waliondoka.

Huwezi maisha yako yote ukaishi na uchungu wa siku zilizopita, utakufa upesi sana kwa presha na kisukari.
 
Washenzi gani walikoma mbona ndio hao hao wamemmaliza na leo wanaifilisi nchi?
Huo ndio ujinga uliokuja kusababisha machafuko ya Oct29, kwamba waliopo madarakani wana uadui na awamu ya JPM, cha muhimu kuweka akilini ni kwamba awamu zote mbili zinatokana na CCM.

Mange ameweza sana kuitunza chuki na ubaguzi miongoni mwa watanzania, mtu akiona mabasi anasema ya Ridhiwani, akiona biashara ya nguzo za umeme anasema ya Kikwete yaani huo umekuwa ujinga unaotawala vichwa vya watanzania.

Hakuna anayefanya utafiti wa kina kwa ajili ya kupima hicho kinachosemwa kama kina ukweli au ni uzushi tu wa mtu mmoja mwenye chuki na SSH.
 
Sisi tuna tatizo kubwa sana na hakuna jema kiongozi atafanya watanzania tuelewe , ndo maana huwa naelewa kiongozi dikteta tena awe dikteta kweli kweli
 
Shida watanzania ni wajinga mno kama hata hadi mkongo mganga wa kienyeji aliweza kutukejeli wazi wazi ahaa ahaaa kiboko ya wachawi alishasema watanzania wadanganyaje unachotaka watakuamini hatujiulizi wala hatufanyi utafiti, NAAAPA KABISA HATA LEO UKISEMA MAMA ZAO NYUCHI ZIMEANZA KUOTA FUNZA KUNA HOMA YA 2026 NUNUENI MAFUTA YA UPONYAJI WATAANZA KUNUNUA BADALA YA KUMUULIZA MAMA YAKE KWELIMAMA UNAUMWA ? UNAUMWA NINI ? UMEANZA LINI?
 
Kwa hili la mafanikio ya timu ya taifa tuache siasa za mirengo wajuba. Tuitakie timu ya taifa mafanikio makubwa ifanikiwe kufanya maajabu duniani. Tuitakie ushindi wa AFCON iwe bingwa kabisa
Morocco timu yangu ya ujanani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…