Ni wapi huko
Duuh, chuma kimepigikaa
Mhhh unayosema yana ukweli au unataka reply yako kutrend mkuuInasemekana ni mpina japo Yuko mzima .Hii Nchi ilipofikia ni kubaya sana. ukikosoa tu unatekwa au unatengenezewa ajali
Kanda ya ziwa kumechangamkaJana mkuu, ila eneo bado wanatuficha (huko kanda ya ziwa) na inasemekana walikuwa speed ya juu sana wakiwahi sehemu.
amenItakua Samia