Kuna Hii Ajari Imetokea Ila Kuna Ukimya, Gari ya Nani Hii?

Mawaziri nasikia kuna kamsafara kamegongana...kama ilivyotokeaga kwa makonda huko lindi. Magari ya msafara, kuna mmoja alikosea yakashonana kama sio basi
 
Bado anaeamuru wa Tanganyika wauawe ili kulinda uke...muda utaongeaaa
 
Kwa msaada wa teknolojia picha mfanano yapatikana :

Toka maktaba :

​

Mkurugenzi ofisi ya Msajili wa Hazina, bintiye wafariki ajalini Same​

Jumatatu, Desemba 23, 2024
1750292657615.jpeg

Watu wa wawili wa familia moja; aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu kwenye Ofisi ya Msajili na Hazina, Amos Nnko na binti yake wa kwanza, Maureen Nnko wamefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea wilayani Same, mkoani Kilimanjaro.

Taarifa ya Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu imeeleza kuwa katika ajali hiyo iliyotokea jana mchana, mke wa marehemu na watoto wengine wawili na mwanafamilia mmoja wamejeruhiwa na wanapatiwa matibabu katika hospitali za KCMC na Mawenzi Mkoani Kilimanjaro.
 
Kwa msaada wa teknolojia picha mfanano yapatikana :

Toka maktaba :

​

Mkurugenzi ofisi ya Msajili wa Hazina, bintiye wafariki ajalini Same​

Jumatatu, Desemba 23, 2024
View attachment 3375502
Watu wa wawili wa familia moja; aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu kwenye Ofisi ya Msajili na Hazina, Amos Nnko na binti yake wa kwanza, Maureen Nnko wamefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea wilayani Same, mkoani Kilimanjaro.

Taarifa ya Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu imeeleza kuwa katika ajali hiyo iliyotokea jana mchana, mke wa marehemu na watoto wengine wawili na mwanafamilia mmoja wamejeruhiwa na wanapatiwa matibabu katika hospitali za KCMC na Mawenzi Mkoani Kilimanjaro.
Mtoa mada ahasiwe.😡
 
Back
Top Bottom