Kuna Hii Ajari Imetokea Ila Kuna Ukimya, Gari ya Nani Hii?

NI Kanda Gani imetokea, huku Mbeya au Kaskazini ya Kilimanjaro?
 
Inasemekana ni mpina japo Yuko mzima .Hii Nchi ilipofikia ni kubaya sana. ukikosoa tu unatekwa au unatengenezewa ajali
Mhhh unayosema yana ukweli au unataka reply yako kutrend mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…