Kuna idadi kubwa ya sup UDSM

Mkuu GAUTAMA, njoo ata mara1 ututembee wadogo zako, sikuhizi mpemba wali 1'500 asee, watoto wa wafugaji tunaishia kula kwa mama ndumbi na cafeteria.

Kuna sehemu hapo mabibo panaitwa kwa mama kifusi nenda pale upate wali utaoshindwa kumaliza mkuu, nadhani siku nikitembelea mabibo hostel nitaenda pale kujikumbushia maisha ya chuo, then kuna wamama pale geti maji wanauza misosi nawakumbuka sana
 
Last edited by a moderator:

yaan Karamagi huwa lazima ashike,me sikusoma economics,ila nimemsikia muda mrefu.
 
nimemiss migomo udsm.....mwaka wangu wa nne wa mwisho 2010/2011 uliisha kwa tabu sana...ulemgomo hujawahi kutokea namkumbuka ule sister aliyepata miscarriage kwa kuchapwa fimbo nilikuwa nimekaa naye karibu kule vimbwetani nmb
 
Tyta njoo utupe data za huyu dogo..alitudanganya kipindi flani kwamba anasoma COET mambo ya umeme..leo anamuongelea dr karamagi wa uchumi kampa sup.. we dogo una matatizo sana..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu GAUTAMA, njoo ata mara1 ututembee wadogo zako, sikuhizi mpemba wali 1'500 asee, watoto wa wafugaji tunaishia kula kwa mama ndumbi na cafeteria.

Haha, Mpemba anazingua I see, hapo hua napitapita, vipi mama Kifusi, kuna pale Nice Cafe na Victoria bado wapo?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu GAUTAMA, njoo ata mara1 ututembee wadogo zako, sikuhizi mpemba wali 1'500 asee, watoto wa wafugaji tunaishia kula kwa mama ndumbi na cafeteria.

Duuh uongo mbaya,leo nimekubamba,unakumbuka tulipokua tunabishana ukajidai umegraduate 2012,uongo sio kitu kizuri kabisa,then ulinipiga majungu eti maybe nimekosa hela ya mkopo nimechanganyikiwa,kumbe wewe unasanda msosi wa buku jero,mimi cna mkopo lakini nakula vzur kuliko wewe mwenye mkopo,chz Mkubwa,uache uongo
 
Last edited by a moderator:
mbona ulisemaga huna supp mkuu
 
We huwajui wapata sup...wanakataa hao labda uwafume chumba cha mtihani....
ha ha ha ha ha ha ha.....ni kweli mkuu....nakumbuka nikiwa chuo kuna jamaa walikuwa wanaficha kuwa wana supp utafikiri ni kilema yaani.....teh teh teh....enzi za Ishengoma na JAVA nilikomaje........nilicarry manina....ha ha ha ha ha
 
ha ha ha ha ha ha ha.....ni kweli mkuu....nakumbuka nikiwa chuo kuna jamaa walikuwa wanaficha kuwa wana supp utafikiri ni kilema yaani.....teh teh teh....enzi za Ishengoma na JAVA nilikomaje........nilicarry manina....ha ha ha ha ha

Sup nomaaa...chezea karai lenye nyota....
Wenyewe wana msemo kuwa jeshini nyota cheo lakini aris nyota supp....hatari.....!
 
Usijitetee wewe si wa kwanza kubukua hapo, watu tumepita hapo tena kitambo wakati muhandisi unatoka muhandisi kweli sio sasa hivi michakachuo kibao...mimi ni graduate wa 2002 nafahamu A-Z za hapo mlimani, wanaoshikwa vilaza wacheza viduku na disco!
2002 is like now!
 
Samahani kwa kuingilia,
Eti nasikia tarehe ya kufungua chuo (UDSM) imesogezwa mbele hadi tarehe 18 October.
Kuna mwenye Uhakika katika hili wana Jamvi?…………
 
Udsm kusoma ni ugomvi hapo kati ya waalim na wanafunzi
 
Kwa trend ilivyo sasa ya kufeli na kubebwa na Kawambwa hadi kufikia kidato cha sita ina maana wajinga wa Kawambwa wameishafika Chuo kikuu. Sasa kifuatacho ni mass failures huko Chuo Kikuu. Tafadhali walimu wa Chuo Kikuu wasilaumiwe kabisa, alaumiwe Shukuru Kawambwa.
 
2002 is like now!

Unafikiri kwa ------ badala ya kichwa wewe, nambie Leo Luna Pro. Luhanga hapo?, kuna Prof Mark Mwandosya hapo? kuna FOE hapo? Kuna Mr. Punch hapo, kuna mabasi ya wanafunzi hapo? Kuna DCM zinafuata wanafunzi hapo kwenda SILENT IN Kila weekend hapo? Boom lilikua sh ngapi? Answer those questions then justify that 2002 is like now!
 
Umesap unakuja kuandika hapa kama jambo la sifa sana badala ya kupiga msuli. Enyi vijana ni nani amewaroga?
 
he yamekuwa hayo tena?nyi si mnajiita mna uwez mkubwa ndio maana mkachaguliwa udsm sasa na hizp sap zinatoka wapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…