Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Mkuu GAUTAMA, njoo ata mara1 ututembee wadogo zako, sikuhizi mpemba wali 1'500 asee, watoto wa wafugaji tunaishia kula kwa mama ndumbi na cafeteria.
Kuna sehemu hapo mabibo panaitwa kwa mama kifusi nenda pale upate wali utaoshindwa kumaliza mkuu, nadhani siku nikitembelea mabibo hostel nitaenda pale kujikumbushia maisha ya chuo, then kuna wamama pale geti maji wanauza misosi nawakumbuka sana
Last edited by a moderator: