Kuna idadi kubwa ya sup UDSM

ivi sup ndo nn?tuambizane maana wengne twaja huko afu hatujui.

Supp ni kozi au somo unalotakiwa kurudia mtihani mara baada ya kushindwa kufikia grade C ambayo ndo kiwango cha chini cha ufaulu kwa degree

inategemea na wastani na taratibu za ukokotoaji ufaulu wa chuo husika
 
Yote tisa ukiona umepata supp maana yake uwezo wako wa kitaaluma ni mdogo

haiwezekan wenzako wasiwe na supp miaka yote halafu ww unakuwa nayo....

Ahahaha kuna wengine kila mwaka wa masomo lazima apate supp duhhhh

hawajambo kwenu???....teh teh teh ulianikwa vinaya siku ile...
 
unajua kuna watu wanashindwa hata kusaidia ushauri,jamani tubadilike pesa huna hata ushauri wa bure pia tabu dah kwel watu hatufanani.!
 
Dalili zinaonesha mapemaa hiyo supp huchomoi itakudaka tena maana sababu unazotoa hazina kichwa wala miguu atakudakeni hata buku nyie kama vilaza Dr afanyeje ni kula vichwa tu!

hivi unaijua shule ya UDSM wewe usikurupuke
kudwkwa pale ni kawaida si mshangao huo

loooh namkumbuka lyaruuu
 
hivi unaijua shule ya UDSM wewe usikurupuke
kudwkwa pale ni kawaida si mshangao huo

loooh namkumbuka lyaruuu

A cha utoto we we mnatumia mitaala ya mars? Mbna kuna ambao hawana supp hata moja ,? Supp ni supp tu uipate ukiwa MZUMBE,udom,cube,udsm,saut zote ni supp tuu ambazo zinaweza zikawa zimesababishwa na uzembe kula bata nk
 
wali wa mpemba mmh sijui anaweka yeast maana unakula leo unasikia njaa baada ya siku 2
nimemis chapati za kwa mama muarabu
 
hivi unaijua shule ya UDSM wewe usikurupuke
kudwkwa pale ni kawaida si mshangao huo

loooh namkumbuka lyaruuu

Hahahaaa unauliza Nzi kwenye bucha ya utumbo, yaani unamuuliza mhandisi mzima wa NICTBB with hons. eti anaijua shule ya UDSM ama la? We mtoto we, temea mate chini, utadisco nikikukosea radhi!
 
Hahahaaa unauliza Nzi kwenye bucha ya utumbo, yaani unamuuliza mhandisi mzima wa NICTBB with hons. eti anaijua shule ya UDSM ama la? We mtoto we, temea mate chini, utadisco nikikukosea radhi!

nishamaliza kitambo labda ni disco club
 
Hahahaaa unauliza Nzi kwenye bucha ya utumbo, yaani unamuuliza mhandisi mzima wa NICTBB with hons. eti anaijua shule ya UDSM ama la? We mtoto we, temea mate chini, utadisco nikikukosea radhi!

kumbe wewe eng mmmhhh eyes on u
 
A cha utoto we we mnatumia mitaala ya mars? Mbna kuna ambao hawana supp hata moja ,? Supp ni supp tu uipate ukiwa MZUMBE,udom,cube,udsm,saut zote ni supp tuu ambazo zinaweza zikawa zimesababishwa na uzembe kula bata nk

una uhakika mi ni mtoto??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…