300 wachache sana hao!!Kwani kusoma udsm ni nini yani.. Daahh watu washamba kweli aiseh.. Nimeamin msemo kuwa wanafunzi w udsm wamebakiwa na tambo tu..... Ila kichwani sifuri
watu tulichaguliwa vyuo vitatu ikiwemo udsm tukaenda vyuo vingine.....
miaka hyo unaomba chuo kwa form
darasa linakuwa na wanafunzi 300????? arghhhhhhhhh
watoto wa PSPA utawajua tu.....nilikuwa nawagongea madem wenu sana kudadesa......afu hawajuagi kukataa yani.....wapi takotako wa BLOCK A....ha ha ha haha....memiss life la chuo kwa kweliKuna Dr. Bruce, kuna Prof Muya, Kuna Man mmoja anaitwa Sabato na Jericko, na Damian, Prof Nyirabu, na Mukandala mwenyewe, wote hawa walifanya maisha yangu yawe ya mashaka na kushindwa kuwa na mahusiano mazuri na mameneja wa Mbalamwezi, Jangwani, Maisha Club, San Siro na kwingineko...
watoto wa PSPA utawajua tu.....nilikuwa nawagongea madem wenu sana kudadesa......afu hawajuagi kukataa yani.....wapi takotako wa BLOCK A....ha ha ha haha....memiss life la chuo kwa kweli
Supp ni supp tuu bwanamdogo
Hahaha.....Mkuu watoto wa PSPA wanaektigi wa kisure sana, Sema mi nilikua nazama BAED kule kuna watoto hawanaga makuu, Then UDBS pale namchukua mtoto nampeleka BRAJEC BAR &GRILL hachomoiiiii
Sorry, I left there 13 years earlier. Our stipend was TZS 9,000 only. An egg was sold for TZS 5/-! No female student wore a trouser, male never wore Kata K or a short. Only 2 students occupied a cubic. My cubic was #827 Hall 2 .Unafikiri kwa ------ badala ya kichwa wewe, nambie Leo Luna Pro. Luhanga hapo?, kuna Prof Mark Mwandosya hapo? kuna FOE hapo? Kuna Mr. Punch hapo, kuna mabasi ya wanafunzi hapo? Kuna DCM zinafuata wanafunzi hapo kwenda SILENT IN Kila weekend hapo? Boom lilikua sh ngapi? Answer those questions then justify that 2002 is like now!
Na zile tosti mkuu moja mia2 ukila 2 siku imepita
Teh teh teh hata mi nakumbuka huyu Perry alisemaga anasoma engineering hapo COET nimeshangaa Leo kaja na swaga za Economics ha ha ha Advocate J njoo umuone senator0001 Leo kadakwa uongo
CC: Remote Excel
Jamani nchi hii vyuo ni UDSM na Mzumbe tu. Vingine ni taasisi.
Jamani nchi hii vyuo ni UDSM na Mzumbe tu. Vingine ni taasisi.
huyu ONTARIO ndio nani nae?
Yani idadi ya raia tunaopiga supp hapa ni kubwa sana, utadhani chuo kishafunguliwa vile. Nimekutana na kundi la vijana flani wa kizungu ambao nao wamedakwa wanalalamika kwa kusema mfumo wa elimu ya Tanzania ni mgumu sana ukilinganisha na wa nchi zao..
Ila we dr karamagi fresh tu, umenidaka na ec 226 na wkt course work ilikua nzuri, ubarikiwe sana. over
hapa nimesoma watu kibao mnajikumbushia msosi...mmeenda chuo kusoma au kula misosi... pumbavu nyie!!! ndo mana mnapata sapu afu mnasingizia malecturer wanakaza kumbe uvilaza wenu tu na wawashike sana tu shenzi sana nyie...
uko sahihi kabisa mkuu na hicho ulichokizungumza hapo nimekuja kukutana nacho huku kazini....aisee bora mtu ule maisha vizuri ukiwa chuo kula sana soma sana na sali sana huku mtaani hakuko hivo madogo...nashangaa sana watoto wa siku hizi mtu mkopo anapata lakin anataka kutumia sh.3500 kwa siku...ili iweje labda???Hivi ninyi mmesoma Udsm gani njaa? Mbona mnaleta habari za kujibanabana kufikia kula misosi michafu ya uswahilini? Hivi hiki si chuo kabisa siku hizi eeh...mwanachuo unakula makoko halafu unajisifu hapa JF! Sisi tulikua tunasoma wakati huo nikiwa FOE watu tuna familia maisha safi yanasonga! Siku hizi nashangaa vitoto vidogo Havina hata majukumu vinakula makombo
Supp ni kozi au somo unalotakiwa kurudia mtihani mara baada ya kushindwa kufikia grade C ambayo ndo kiwango cha chini cha ufaulu kwa degree
inategemea na wastani na taratibu za ukokotoaji ufaulu wa chuo husika