Kuna idadi kubwa ya sup UDSM

Kuna idadi kubwa ya sup UDSM

Kwani kusoma udsm ni nini yani.. Daahh watu washamba kweli aiseh.. Nimeamin msemo kuwa wanafunzi w udsm wamebakiwa na tambo tu..... Ila kichwani sifuri

watu tulichaguliwa vyuo vitatu ikiwemo udsm tukaenda vyuo vingine.....

miaka hyo unaomba chuo kwa form

darasa linakuwa na wanafunzi 300????? arghhhhhhhhh
300 wachache sana hao!!
 
Naskia LLB mwaka wa kwanza wapo kibao.. halaf 10 wamedisko.. hii hatari.
 
Kuna Dr. Bruce, kuna Prof Muya, Kuna Man mmoja anaitwa Sabato na Jericko, na Damian, Prof Nyirabu, na Mukandala mwenyewe, wote hawa walifanya maisha yangu yawe ya mashaka na kushindwa kuwa na mahusiano mazuri na mameneja wa Mbalamwezi, Jangwani, Maisha Club, San Siro na kwingineko...
watoto wa PSPA utawajua tu.....nilikuwa nawagongea madem wenu sana kudadesa......afu hawajuagi kukataa yani.....wapi takotako wa BLOCK A....ha ha ha haha....memiss life la chuo kwa kweli
 
watoto wa PSPA utawajua tu.....nilikuwa nawagongea madem wenu sana kudadesa......afu hawajuagi kukataa yani.....wapi takotako wa BLOCK A....ha ha ha haha....memiss life la chuo kwa kweli

Hahaha.....Mkuu watoto wa PSPA wanaektigi wa kisure sana, Sema mi nilikua nazama BAED kule kuna watoto hawanaga makuu, Then UDBS pale namchukua mtoto nampeleka BRAJEC BAR &GRILL hachomoiiiii
 
Hahaha.....Mkuu watoto wa PSPA wanaektigi wa kisure sana, Sema mi nilikua nazama BAED kule kuna watoto hawanaga makuu, Then UDBS pale namchukua mtoto nampeleka BRAJEC BAR &GRILL hachomoiiiii

ulikuwa uko juu mkuu....watt wa UDBS wanajikutaga classic sana....me nilikuwa nawapelekaga whitehouse ha ha ha ha ha
 
Unafikiri kwa ------ badala ya kichwa wewe, nambie Leo Luna Pro. Luhanga hapo?, kuna Prof Mark Mwandosya hapo? kuna FOE hapo? Kuna Mr. Punch hapo, kuna mabasi ya wanafunzi hapo? Kuna DCM zinafuata wanafunzi hapo kwenda SILENT IN Kila weekend hapo? Boom lilikua sh ngapi? Answer those questions then justify that 2002 is like now!
Sorry, I left there 13 years earlier. Our stipend was TZS 9,000 only. An egg was sold for TZS 5/-! No female student wore a trouser, male never wore Kata K or a short. Only 2 students occupied a cubic. My cubic was #827 Hall 2 .

Samahani kama nimekuudhi.
 
hapa nimesoma watu kibao mnajikumbushia msosi...mmeenda chuo kusoma au kula misosi... pumbavu nyie!!! ndo mana mnapata sapu afu mnasingizia malecturer wanakaza kumbe uvilaza wenu tu na wawashike sana tu shenzi sana nyie...
 
story mpaka hapa imefikia pazuri haya endeleeni....ningependa kufahamu zaidi kuhusu hao wa LLb
 
Na zile tosti mkuu moja mia2 ukila 2 siku imepita

Hivi ninyi mmesoma Udsm gani njaa? Mbona mnaleta habari za kujibanabana kufikia kula misosi michafu ya uswahilini? Hivi hiki si chuo kabisa siku hizi eeh...mwanachuo unakula makoko halafu unajisifu hapa JF! Sisi tulikua tunasoma wakati huo nikiwa FOE watu tuna familia maisha safi yanasonga! Siku hizi nashangaa vitoto vidogo Havina hata majukumu vinakula makombo
 
Attachments

  • 1411220982556.jpg
    1411220982556.jpg
    66.4 KB · Views: 124
Yani idadi ya raia tunaopiga supp hapa ni kubwa sana, utadhani chuo kishafunguliwa vile. Nimekutana na kundi la vijana flani wa kizungu ambao nao wamedakwa wanalalamika kwa kusema mfumo wa elimu ya Tanzania ni mgumu sana ukilinganisha na wa nchi zao..

Ila we dr karamagi fresh tu, umenidaka na ec 226 na wkt course work ilikua nzuri, ubarikiwe sana. over

1. Mfumo hapo ni mgumu si kwa sababu masomo yanayofundishwa ni magumu, bali kwa sababu labda mwanafunzi hafahamiki kwa mwalimu vizuri ili kucheza mchezo wa kupata maksi.
2. Kwa nyakati fulani fulani nimekuwa nikisikia baadhi ya wanafunzi waliopitia hapo wakidai "walitakiwa ku'supp'" wakini wakaingia mfukoni na neema ikawashukia.
3. Nilishasikia pia kutoka kwa jamaa mmoja (wakili) aliyekuwa akifanya LLM yake akidai alimkuta lecturer mmoja anawafanyia wanafunzi wa OPEN kwa wakati huo assignments na walikuwa wakimlipa (kwa mujibu wa huyo wakili) Sh50,000.
4. Kwa hali kama hii, ni wazi mgeni wa mazingira haya anaweza akaangukia supp si kwa sababu hajui masomo, ila kwa sababu hajui mchezo unaochezwa.
 
hapa nimesoma watu kibao mnajikumbushia msosi...mmeenda chuo kusoma au kula misosi... pumbavu nyie!!! ndo mana mnapata sapu afu mnasingizia malecturer wanakaza kumbe uvilaza wenu tu na wawashike sana tu shenzi sana nyie...

Back off!, kwa hiyo ulitaka tufanyaje? wengine kufeli ilikua sio utamaduni wetu......
 
Hivi ninyi mmesoma Udsm gani njaa? Mbona mnaleta habari za kujibanabana kufikia kula misosi michafu ya uswahilini? Hivi hiki si chuo kabisa siku hizi eeh...mwanachuo unakula makoko halafu unajisifu hapa JF! Sisi tulikua tunasoma wakati huo nikiwa FOE watu tuna familia maisha safi yanasonga! Siku hizi nashangaa vitoto vidogo Havina hata majukumu vinakula makombo
uko sahihi kabisa mkuu na hicho ulichokizungumza hapo nimekuja kukutana nacho huku kazini....aisee bora mtu ule maisha vizuri ukiwa chuo kula sana soma sana na sali sana huku mtaani hakuko hivo madogo...nashangaa sana watoto wa siku hizi mtu mkopo anapata lakin anataka kutumia sh.3500 kwa siku...ili iweje labda???
 
Supp ni kozi au somo unalotakiwa kurudia mtihani mara baada ya kushindwa kufikia grade C ambayo ndo kiwango cha chini cha ufaulu kwa degree

inategemea na wastani na taratibu za ukokotoaji ufaulu wa chuo husika

nashukuru mkuu kwa ufaham huo,
 
Back
Top Bottom