Kuna ile dhana watu wa vijijini wanaishi miaka mingi kuliko wa mijini, kuna uhalisia kwenye ili?

Kuna ile dhana watu wa vijijini wanaishi miaka mingi kuliko wa mijini, kuna uhalisia kwenye ili?

Vijijini wanazeeka haraka, sio kwamba wanaishi muda mrefu.
Kuhusu afya, uwepo wa hospitali zenye maabara nzuri na vifaa vya afya si suluhisho kwenye majibu ya hapa.
Mwaka jana Ilionyesha kwenye kila mimba 1000, watoto 56 wanakufa mijini, na 36 wanakufa vijijini. Na tuache story za kila siku kwamba vijijini umbali wa huduma za afya, na ukosefu wa vifaa tiba, sababu za kizamani sana tena zinazopendwa kutolewa na watu waishio mjini wasiopajua kabisa vijijini.

Point kubwa watu wa vijijini wanachoka miili haraka kuliko mjini. Sio kuishi muda mrefu.
Na ikumbukwe baada ya sensa, kuna only 3.4 % ya wazee Tanzania juu ya umri wa miaka 64.

Hapo hapo ni asilimia 63 tu ya watanzania wanaishi vijijini almost 40ml. (1-60 and above)
Piga hesabu zenu mtajua wapi wanaishi muda mrefu.
Kuchoka miili haraka nakataa, ni muonekano ndo unaokudanganya kutokana wanavyojiweka, na wazee wengi 70 wanakuwa wako fresh wanapiga jembe kama kawaida
 
Kuchoka miili haraka nakataa, ni muonekano ndo unaokudanganya kutokana wanavyojiweka, na wazee wengi 70 wanakuwa wako fresh wanapiga jembe kama kawaida
Refer my data, google data, then utapata jibu, mimi nimeandika juujuu. Nimekupa opinion yakuchoka muonekano, srry kama nimeandika mwili.
 
Back
Top Bottom