Kuna ile furaha unaipata unapomsaidia mzazi/mlezi, ndugu au jamaa hela au chochote, ni special sana

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Sijawahi jihusisha na ulevi wa aina yoyote hivyo siwezi linganisha ila kuna raha unakua unaipata ni kali sana pale unapomsaidia mtu, akatatua tatizo pake,
Hua najiuliza wale wabahili wa pesa hua hawajui hilo jambo? Nadhani ni zaidi ya pombe au uraibu mwingine
 
Mimi ninatumia kilevi na sigara,nilimuahidi bibi yangu mzaa mama nikiwa mdogo kuwa nikikua nitampa hela na kumnunulia mbolea,kweli nilitimiza!Alisifia kwa wanae wote kwa kweli nilifurahi mno kama vile nimekunywa Tungi la harusi ya kifahari hakuna mupe muruke!
 
Upo sahihi,
 
......ni kweli, ila utahuzunika, kughadhibishwa,kusononeshwa na kuchukia pale na wewe unaipata shida na unahitaji msaada toka kwa wale uliowasaidia kipindi fulani nyuma cha maisha yako alafu unajikuta kwenye Dunia ya peke yako. Hata Simu za salamu hupati tena angalau akubip kisha aseme kakosea!

Saidia kwa akili na sio kwa ulevi wa sifa na kutaka kuheshimika hasa kwa hao ndugu na jamaa.
 
......ni kweli, ila utahuzunika, kughadhibishwa,kusononeshwa na kuchukia pale na wewe unaipata shida na wewenunahiyaji msaada Toka Kwa wale uliowasaidia kipindi fulani nyumba Cha maisha.

Hawawez kuelewa…[emoji23][emoji23]Sawa tenda wema nenda zako usingoje shukrani lakini usiombe pale ndugu au jamaa yako uliye msaidia anakataa kukusaidia wewe na uwezo anao [emoji4]
 
Tupo tofauti
Mm nakuwa nawaza hyo hela bora ningenunua kuku Rost na kitimoto
nakubaliana kua tuko tofauti, binafsi niko katika hatua amabo hakuna chakula ambacho ni kigeni au cha kuniifanya nione special, utamu wa chakula ni more momentarly than one can explain
 
Hawawez kuelewa…[emoji23][emoji23]Sawa tenda wema nenda zako usingoje shukrani lakini usiombe pale ndugu au jamaa yako uliye msaidia anakataa kukusaidia wewe na uwezo anao [emoji4]
wengi hawasaidii ila wanafanya uwekezaji, wanasahau ile rule ya " give and forget"
 
nakubaliana kua tuko tofauti, binafsi niko katika hatua amabo hakuna chakula ambacho ni kigeni au cha kuniifanya nione special, utamu wa chakula ni more momentarly than one can explain

Basi mm nitakuwa na roho mbaya
Mungu nisaidie
 
......ni kweli, ila utahuzunika, kughadhibishwa,kusononeshwa na kuchukia pale na wewe unaipata shida na unahitaji msaada toka kwa wale uliowasaidia kipindi fulani nyuma cha maisha yako alafu unajikuta kwenye Dunia ya peke yako. Hata Simu za salamu hupati tena angalau akubip kisha aseme kakosea!

Saidia kwa akili na sio kwa ulevi wa sifa na kutaka kuheshimika hasa kwa hao ndugu na jamaa.
Yalinikuta haya, ila ninakawaida ya kutoa na kusahau, shida ukijikuta kwenye toxic family hua hawaelewi kama huna au unacho na hata kama huna unaitwa mchoyo mixer roho mbaya, kuna muda niljikuta nashindwa kuendeleza maisha yangu kabisa kwajili ya kuangaika na ndugu, yaani watu wanapigia hesabu hadi kiasi unachoingiza na ukifanya maendeleo yoyote binafsi hata kununua shati tu unategwa,watapigiana simu mara unaroho mbaya mixer utamwagiwa na radhi kabisa. Usiombee kuwa na wanafamilia wasio heshimu boundaries zako.
Kiufupi nilgeuzwa mtaji wa watu
 
Back
Top Bottom