makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Sahihi, Aheri kidogo chenye Baraka, kuliko kingi kisicho na Baraka.Kutoa ni moyo, ukitoa kwa moyo hata ukiwa na kdg tu...hupungikiwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi, Aheri kidogo chenye Baraka, kuliko kingi kisicho na Baraka.Kutoa ni moyo, ukitoa kwa moyo hata ukiwa na kdg tu...hupungikiwi
🥰🥰🥰Napata furaha sana nikimsaidia Mama
🤗🤗🤗🙏Sijawahi jihusisha na ulevi wa aina yoyote hivyo siwezi linganisha ila kuna raha unakua unaipata ni kali sana pale unapomsaidia mtu, akatatua tatizo pake,
Hua najiuliza wale wabahili wa pesa hua hawajui hilo jambo? Nadhani ni zaidi ya pombe au uraibu mwingine