Kuna internation school Gani nzuri Dodoma

Kuna internation school Gani nzuri Dodoma

Hakuna international school Dodoma bali kuna english medium kama saint mary

International schools wana mitaala yao ya kimataifa hawafati Necta, ni shule ambazo ada ni milioni 20 kwa mwaka kwa wastani, wanafunzi wengi ni watoto wa mabolozi wa nchi za nje na matajiri wanaojiweza.
Canon Andrea Mwaka inatumia mtaala wa Cambridge na Walimu wake wengi ni kutoka Nje hasa Australia. Na ada haifiki 20 milioni. Tusikariri
 
Canon Andrea Mwaka inatumia mtaala wa Cambridge na Walimu wake wengi ni kutoka Nje hasa Australia. Na ada haifiki 20 milioni. Tusikariri
Ufaulu wake ukoje? Maana ziko zingine za mtaala wa Cambridge lakini ufaulu wake mmmmmmm
 
Mimi nataka international, iwe dodoma. Kama ada nitaiba tu, mbona dar nimeweza
 
Hizo ni English medium.
Shule za international zinazofata mitaala ya Cambridge na ib ni hizi
1- international school of tanganyika (dsm)
2-braeburn (arusha)
3-dar es salaam international academy
4- iringa international school
5-st Constantine international school
6-kennedy house school
7-heaven of peace academy
Kuna Genesis IPO Osterbay
 
Hizo ni English medium.
Shule za international zinazofata mitaala ya Cambridge na ib ni hizi
1- international school of tanganyika (dsm)
2-braeburn (arusha)
3-dar es salaam international academy
4- iringa international school
5-st Constantine international school
6-kennedy house school
7-heaven of peace academy
Aghakhan vp?
 
Only Canon Andrea Mwaka, Location Uzunguni.

Zingine zote ni English medium. Hata Feza schools nadhani kwa dom ni ile ya mataala wa kawaida.
 
Mimi nataka international, iwe dodoma. Kama ada nitaiba tu, mbona dar nimeweza
Za dar mbona anakuwa bweni na anasoma bila shida likizo analetwa na ndege hadi Dodoma bila shida

Mbona wako hadi watoto wa chekechea na msingi wazazi unakuta wako mikoa mingine ambayo haina International schools popote wanasomeshwa International schools Dar nk wakifunga hata kama uwanja wa ndege haupo kama migodini nk wanapelekwa na ndege ndogo za kukodi ziwezazo kutua popote kusiko na uwanja wa ndege au hupelekwa na helicopter za kukodiwa na shule wakifunga

Hao wako wewe wana kitu gani special wasibaki kwenye hizo shule International huko wanasoma waje Dodoma likizo tu mbona bweni zipo tena VIP wanalala kila mtoto chumba chake peke yake hela yako tu ushindwe wewe

Wewe lofa huna hela.Wenye hela mikoa kibao hizo International schools hazipo na wanasomesha huko wanaondoka na ndege za abiria au private ndogo za kukodi kwenda shule na kurudi

Wewe Pesa huna lofa wewe
 
Mimi nataka international, iwe dodoma. Kama ada nitaiba tu, mbona dar nimeweza
Hela huna ungewaaacha dar ukawafuata na ndege ya kukodi au helicopter wakifunga angalia wazazi wenzio wenye pesa zao kenya wenye watoto shule ya St Andrew Kenya wakifuata watoto wao kwa helicopter zao kupindi cha midterm baada ya watoto wao kufunga shule midterm shuleni kwao


View: https://youtu.be/KDJ0Ir28J8Q?si=sMPQLhHWT2str6sq
 
Mimi nataka international, iwe dodoma. Kama ada nitaiba tu, mbona dar nimeweza
Mjumbe amekujibu hapo juu. CAMS- Canon Andrea Mwaka International School iko mtaa wa Uzunguni-Dodoma.

Ukiwa Waswanu Pub au Capital utaelekezwa kirahisi kabisa hata kwa miguu unafika boss.

Ni international kabisa wanatumia mitaala ya Cambridge na wanafanya vizuri.
Unaweza kuni-inbox kwa maelezo zaidi. Ingawa mpaka hapo huwezi potea boss.

Ni shule inayomilikiwa na Kanisa la Anglican Diocese of Central Tanganyika, wenye like jengo zuri la Safina House opposite na ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
 
Mkuu acha stry za vijiweni shule nimekuwekea juu. Achana na stry za hao wa vijiweni.chagua
 
Back
Top Bottom