Yes Moshi International school na yenyewe ni ya kimataifaKuna ile ya Moshi pia, one among famous in Tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes Moshi International school na yenyewe ni ya kimataifaKuna ile ya Moshi pia, one among famous in Tz
Kuna shule kama Braeburn au HOPAC kupata nafasi zake pia ni ishu kidogo!Yes Moshi International school na yenyewe ni ya kimataifa
Na mimi nadhani hivyo alimaanisha English mediumWabongo wengi huwa wanachanganya English Medium Schools na International Schools.
Mtoa Mada bila shaka alimaanisha English medium schools.
Ni kweli na zote ziko Dar na ni International schools na ada zake lazima mzazi aamkie shikamooo shuleKuna shule kama Braeburn au HOPAC kupata nafasi zake pia ni ishu kidogo!
Curriculum aka mtaala hawafuati huu wa Tz. Ambao mitihani yake ni NECTAHivi ili iwe international school yapaswa kuwa na sifa gani?!
Hii ni English medium tu Mkuu.Kuna moja ipo kikuyu pale, st marys international
Nilimaanisha unaweza kuwa na pesa ila usipate nafasi.Ni kweli na zote ziko Dar na ni International schools na ada zake lazima mzazi aamkie shikamooo shule
Canon Andrea Mwaka inatumia mtaala wa Cambridge na Walimu wake wengi ni kutoka Nje hasa Australia. Na ada haifiki 20 milioni. TusikaririHakuna international school Dodoma bali kuna english medium kama saint mary
International schools wana mitaala yao ya kimataifa hawafati Necta, ni shule ambazo ada ni milioni 20 kwa mwaka kwa wastani, wanafunzi wengi ni watoto wa mabolozi wa nchi za nje na matajiri wanaojiweza.
OkNilimaanisha unaweza kuwa na pesa ila usipate nafasi.
Ufaulu wake ukoje? Maana ziko zingine za mtaala wa Cambridge lakini ufaulu wake mmmmmmmCanon Andrea Mwaka inatumia mtaala wa Cambridge na Walimu wake wengi ni kutoka Nje hasa Australia. Na ada haifiki 20 milioni. Tusikariri
Kuna Genesis IPO OsterbayHizo ni English medium.
Shule za international zinazofata mitaala ya Cambridge na ib ni hizi
1- international school of tanganyika (dsm)
2-braeburn (arusha)
3-dar es salaam international academy
4- iringa international school
5-st Constantine international school
6-kennedy house school
7-heaven of peace academy
Aghakhan vp?Hizo ni English medium.
Shule za international zinazofata mitaala ya Cambridge na ib ni hizi
1- international school of tanganyika (dsm)
2-braeburn (arusha)
3-dar es salaam international academy
4- iringa international school
5-st Constantine international school
6-kennedy house school
7-heaven of peace academy
Za dar mbona anakuwa bweni na anasoma bila shida likizo analetwa na ndege hadi Dodoma bila shidaMimi nataka international, iwe dodoma. Kama ada nitaiba tu, mbona dar nimeweza
Hela huna ungewaaacha dar ukawafuata na ndege ya kukodi au helicopter wakifunga angalia wazazi wenzio wenye pesa zao kenya wenye watoto shule ya St Andrew Kenya wakifuata watoto wao kwa helicopter zao kupindi cha midterm baada ya watoto wao kufunga shule midterm shuleni kwaoMimi nataka international, iwe dodoma. Kama ada nitaiba tu, mbona dar nimeweza
Mjumbe amekujibu hapo juu. CAMS- Canon Andrea Mwaka International School iko mtaa wa Uzunguni-Dodoma.Mimi nataka international, iwe dodoma. Kama ada nitaiba tu, mbona dar nimeweza