Kuna internation school Gani nzuri Dodoma

mtu anayeweza kuhamishiwa kikazi dodoma hawezi kulipa ada international school labda awe mwivi
ila english medium ndio uhakika
 
Kilevi kimekolea kichwani.
 
Canon Andrea ni international school ya muda mrefu sana Dodoma, na ndio pekee.
 
Inatumia syllabus ya Cambridge ya uingereza na mitihani wanafanya inayotungwa na Cambridge uingereza hawana mfumo wa Necta wa baraza la mitihani la Tanzania
Sio kweli kuna shule kibao zinatumia cambridge lakini hauwezi kuziita international schools.

International school ni quality na standard kuanzia mazingira, status mpaka elimu unayoipata hapo.
 
Canon Andrea Mwaka School is an international school. Ipo Uzunguni, Dodoma. Ndo Shule pekee ya International school kwa Dodoma.
 
Wakuu mimi naulizia primary school nzuri ya kikatoriki iliyopo dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…