Kuna internation school Gani nzuri Dodoma

Kuna internation school Gani nzuri Dodoma

mtu anayeweza kuhamishiwa kikazi dodoma hawezi kulipa ada international school labda awe mwivi
ila english medium ndio uhakika
 
Za dar mbona anakuwa bweni na anasoma bila shida likizo analetwa na ndege hadi Dodoma bila shida

Mbona wako hadi watoto wa chekechea na msingi wazazi unakuta wako mikoa mingine ambayo haina International schools popote wanasomeshwa International schools Dar nk wakifunga hata kama uwanja wa ndege haupo kama migodini nk wanapelekwa na ndege ndogo za kukodi ziwezazo kutua popote kusiko na uwanja wa ndege au hupelekwa na helicopter za kukodiwa na shule wakifunga

Hao wako wewe wana kitu gani special wasibaki kwenye hizo shule International huko wanasoma waje Dodoma likizo tu mbona bweni zipo tena VIP wanalala kila mtoto chumba chake peke yake hela yako tu ushindwe wewe

Wewe lofa huna hela.Wenye hela mikoa kibao hizo International schools hazipo na wanasomesha huko wanaondoka na ndege za abiria au private ndogo za kukodi kwenda shule na kurudi

Wewe Pesa huna lofa wewe
Kilevi kimekolea kichwani.
 
Hakuna international school Dodoma bali kuna english medium kama saint mary

International schools wana mitaala yao ya kimataifa hawafati Necta, ni shule ambazo ada ni milioni 20 kwa mwaka kwa wastani, wanafunzi wengi ni watoto wa mabolozi wa nchi za nje na matajiri wanaojiweza.
Canon Andrea ni international school ya muda mrefu sana Dodoma, na ndio pekee.
 
Inatumia syllabus ya Cambridge ya uingereza na mitihani wanafanya inayotungwa na Cambridge uingereza hawana mfumo wa Necta wa baraza la mitihani la Tanzania
Sio kweli kuna shule kibao zinatumia cambridge lakini hauwezi kuziita international schools.

International school ni quality na standard kuanzia mazingira, status mpaka elimu unayoipata hapo.
 
Hakuna international school Dodoma bali kuna english medium kama saint mary

International schools wana mitaala yao ya kimataifa hawafati Necta, ni shule ambazo ada ni milioni 20 kwa mwaka kwa wastani, wanafunzi wengi ni watoto wa mabolozi wa nchi za nje na matajiri wanaojiweza.
Canon Andrea Mwaka School is an international school. Ipo Uzunguni, Dodoma. Ndo Shule pekee ya International school kwa Dodoma.
 
Wakuu mimi naulizia primary school nzuri ya kikatoriki iliyopo dodoma.
 
Back
Top Bottom