Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Maisha haya yana risk nyingi sana.
Jamaa kanipa dili zito sana. Eti huko Ukraine kuna Bunduki kibao zikizotelekezwa, anaziuza kimagendo kuja huku Africa.
Kanishirikisha kwamba nikiweza nimcheki tufanye biashara.
Gharama za kusafirisha mpaka mzigo kunifikia ni juu yake.
Yani nawaza sana hii deal naiona Jela nje nje tena kifungo cha Maisha