Kuna Jamaa Mmoja alitendwa hataki kuoa au kuishi nyumba moja na mwanamke

Kuna Jamaa Mmoja alitendwa hataki kuoa au kuishi nyumba moja na mwanamke

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
562
Reaction score
1,148
Kuna Jamaa mmoja ana 42 now; aliwahi kuoa kw 20's uko ana watoto wawili na alishaachana na mke wake enzi akiwa na kipato cha kawaida tu.

Anashare watoto na ex wake ambaye kaolewa tena na uyu Jamaa anaishi zake Iringa na sasa amekuwa mtu mkubwa na pesa nyingi ivyo watoto wake wakitaka kuja anytime wanakuja kwa dingi kutoka Dar etc.

Sasa uyu jamaa hataki kusikia kuja kuoa tena au kuishi na mwanamke kwa nyumba moja tena. Ameniambia anamdate uyu Dada ambaye ni mfanyabiashara kati ya Moro na Iringa so wamejuana kwa kupitia biashara.

Uyo dada naye alitendwa na mapenzi kabla na ana mtoto mmoja wa kike; ila anataka mtoto mwingine na uyu Jamaa ambaye kamuambia hataki ila kama wakizaa hatokataa kumlea ila mama mtu bado hatakaa kwake au atampangia( ingawa ana kipato chake) atakuwa anakuja kumtembelea na akiwa mkubwa atakuwa anakuja kwake kama watoto wake wengine.

Ila hataki wakae pamoja. Mwanamke can come kulala kwa siku chache au mwanaume aende kwa mwanamke ila kila mtu anaendelea kuwa na nyumba yake.

Mwanamke anaonekana kuchoka hiyo arrangement na anataka wakae pamoja ila mwanaume anasema kama hataki basi ila yeye hatorudia tena kuishi na mwanamke tena🤣🤣🤣 Nyie Wadau Wanaume mnaonaje???😜😜😜
 
IMG_20250517_001500.jpg
 
Ni mtu mzima, ndivyo alivyoamua, hakuna cha kuona. Kwani ni mwendawazimu?
 
Nzuri hio, anakataa ndoa kwa herufi kubwa, ndoa ni uhaini
 
Kuna Jamaa mmoja ana 42 now; aliwahi kuoa kw 20's uko ana watoto wawili na alishaachana na mke wake enzi akiwa na kipato cha kawaida tu. Anashare watoto na ex wake ambaye kaolewa tena na uyu Jamaa anaishi zake Iringa na sasa amekuwa mtu mkubwa na pesa nyingi ivyo watoto wake wakitaka kuja anytime wanakuja kwa dingi kutoka Daetc. sasa uyu jamaa hataki kusikia kuja kuoa tena au kuishi na mwanamke kw nyumba moja tena. Ameniambia anamdate uyu Dada ambaye ni mfanyabiashara kat ya Moro na Iringa so wamejuana kwa kupitia biashara. Uyo dada naye alitendwa na mapenzi kabla na ana mtoto mmoja wa kike; ila anataka mtoto mwingine na uyu Jamaa ambaye kamuambia hataki ila kama wakizaa hatokataa kumlea ila mama mtu bado atakaa kwake au atampangia( ingawa ana kipato chake) atakuwa anakuja kumtembelea na akiwa mkubwa atakuwa anakuja kwake kama watoto wake wengine. Ila hataki wakae pamoja. Mwanamke can come kulala kwa siku chache au mwanaume aende kwa mwanamke ila kila mtu anaendelea kuwa na nyumba yake. Mwanamke anaonekana kuchoka iyo arrangement na anataka wakae pamoja ila mwanaume anasema kama hataki basi ila yeye hatorudia tena kuishi na mwanamke tena🤣🤣🤣 Nyie Wadau Wanaume mnaonaje???😜😜😜
Yanatuhusu nini sisi hayo? Waache waendelee, hayo ndiyo maisha waliyochagua!
 
Back
Top Bottom