Tetesi: Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...

Tetesi: Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...

Wasomba

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2016
Posts
418
Reaction score
568
Nimearifiwa na mmoja wa wahanga kuwa katika kijiji cha Kitaya kilichopo katika Halmashauri ya Nanyamba huko Mtwara kuna hali tete inaendelea huko.

Kijiji kimevamiwa na watu wenye risasi za moto hali iliyopelekea Wananchi kukimbilia Porini.

Mpaka asubuhi hii risasi zilikuwa zinaendelea kurindima.

Nimepatiwa taarifa hii na mkazi mmoja akiwa huko mafichoni na familia yake.

Nitaendeea kuwajuza kadri nipatavyo taarifa.

Tuwaombee.
Update 1:
IMG-20201016-WA0021.jpg


72B3D6EA-13A2-48AB-8FBB-A987C9FA7C90.jpeg


UPDATE:

Tanzania border village attack 'leaves 20 dead' - BBC

Mozambique: Suspected militants attack Tanzanian border village of Kitaya (Mtwara Region) October 15
 
Kuna taarifa kuwa wale waasi wa Msumbiji Usiku wa leo wamevamia Mtwara kata ya Kiyanga iliyopo mpakani na mto Ruvuma.

Aidha, inasemekana wamechoma moto baadhi ya majengo, kuua na kuteka watu.

Watu walioko huko Mtwara hebu tupeni update kamili
Lakini kuna JW huko wanayajua haya?
 
Nakumbuka jinsi P.Mboma alivyopambana na wale wa kule kaskazini, Kenya wakakubali mapigo; tusemezane na Msumbiji tu, hatutawasikia tena hao.

M23 walipopigwa kule Kongo, walikimbilia Rwanda na Uganda, maana yake ni nini hii?
 
Back
Top Bottom