Tetesi: Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...

Katika hili tusiwe lelemama eti tutalaumiwa na umoja wa mataifa - saga hao watu kabisa, yaani wasagwe kiasi kwamba wakisikia neno Tanzania wanajificha -wasituzoee kabisa
 
Kuna watu wanaenda kuchezea kichapo cha mbwa mwizi...Watatandikwa hao, mpaka wachakae!
Hii ni dharau!

Pole ndugu zetu wa mpakani Ntwara.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Nimearifiwa na mmoja wa wahanga kuwa katika kijiji cha Kitaya katika Halmashauri ya Nanyamba huko Mtwara kuna hali tete inaendelea huko.

Kijiji kimevamiwa na watu wenye risasi za moto hali iliyopelekea wananchi kukimbilia Porini....
True sema umekuwa Siri kama unavyojuwa mkuu wetu hapendi taarifa zivuje.
 
Swala hili limeanza muda Sana, toka enzi ya Kibiti,mkuranga na ikwiriri mauaji Yale!
Sasa tunayosikia na kuona Ni matokeo ya Operation MKIRU,

Kuna uzembe umefanywa na vyombo vyetu vya ulinzi, hil lazima tukubali uzembe umefanyika,

Hawa jamaa waliopo msumbiji taarifa zao zipo toka 2015 , na mipango ilishafanyika tatizo uzembe ktk utekelezaji!

Kwanini walifanikiwa kuweka kambi ya jeshi mji wa kibiti?

Kwanini wameshindwa kufanyia kazi swala la mpaka na msumbiji km ilivyo ktk mipango na malengo ya kuwakabili Hawa Jamaaa?

Dawa ya mjinga Ni kuumia

Hivyo tunavuna tulichopanda!!

Ushauri: Jeshi hasa viongozi waandamizi wafanyekazi kwa uweledi bila kukubali tutumika na viongozi wakisiasa wasiojua athari za wafanyayo zaidi ya kutaka madaraka tu!!
 
Nimearifiwa na mmoja wa wahanga kuwa katika kijiji cha Kitaya katika Halmashauri ya Nanyamba huko Mtwara kuna hali tete inaendelea huko.

Kijiji kimevamiwa na watu wenye risasi za moto hali iliyopelekea wananchi kukimbilia Porini.

Mpaka asubuhi hii risasi zilikuwa zinaendelea kurindima.

Nimepatiwa taarifa hii na mkazi mmoja akiwa huko mafichoni na familia yake.

Nitaendeea kuwajuza kadri nipatavyo taarifa.

Tuwaombee.

Tetesi zilizopo ni kwamba. Wiki kama 2 zilizopita watu watz wapatao ishirini walifika kwenye huo ukanda wakakodisha gari kwamba wanakwenda kijiji cha mpakani mwa TZ na Mozambique kwenye arusi. Walipamba gari na makanga kama arusi hasa. Walishuka karibu na mto ruvuma kwa madai ya kwenda kuchimba dawa ambapo wote kwa pamoja hawakutaka tena kuendelea na safari. Driver alipowauliza walimfukuza kwa kumtishia na kumnyang'anya na fedha . Huyo driver alikwenda kureport kwa vyombo vya usalama karibu na eneo la tukio ambapo ninaamni kwamba kuna baadhi walifanikiwa kuvuka kwenda msumbiji kwenye kambi za uharifu.

Kwa kuunganisha nukta, inawezekana wale waliofanikiwa kuvuka ndio wanarudi kuja kupiga kwa ajli ya visasi.

Jeshi letu liko makini. Hatua za haraka zichukuliwe kukomesha huu wendawazimu.
 
Iweke sawa ttz ni nini hao wanaorusha risasi na madhara yake yakoje
 
Unajua mkuu sisi sio kwamba tunalidharau jeshi kwa namna mnavyofikiria, HAPANA.

Ila shida ni kwamba, kwanini hizi ripoti wanazopokea vyombo vya usalama hazifanyiwi kazi?

Tunafanyia kazi mambo ya siasa ya kipumbavu ili kulinda watu kukaa madarakani, na mambo yahusiyo maisha ya watu hayafanyiwi kazi

Sasa embu niambie, kama hii taarifa uliyotoa, ni taarifa ambayo jeshi la polisi ilipaswa ifanyie upelelezi kwa kina sana ili kuepusha haya yote.
 
Nimearifiwa na mmoja wa wahanga kuwa katika kijiji cha Kitaya katika Halmashauri ya Nanyamba huko Mtwara kuna hali tete inaendelea huko.

Kijiji kimevamiwa na watu wenye risasi za moto hali iliyopelekea wananchi kukimbilia Porini.

Mpaka asubuhi hii risasi zilikuwa zinaendelea kurindima.

Nimepatiwa taarifa hii na mkazi mmoja akiwa huko mafichoni na familia yake.

Nitaendeea kuwajuza kadri nipatavyo taarifa.

Tuwaombee.
Jamani poleni sana wana Mtwara,tusuburi viongozi wetu wa Serikali
 
kuna tetesi kama hizo lakini RC wa Mtwara nimemsikia redio one asubuhi akikanusha,,,,,,
 
Nakumbuka jinsi P.Mboma alivyopambana na wale wa kule kaskazini, Kenya wakakubali mapigo; tusemezane na Msumbiji tu, hatutawasikia tena hao.

M23 walipopigwa kule Kongo, walikimbilia Rwanda na Uganda, maana yake ni nini hii?
PK na M7 ndio walikuwa wanawatumiamkwenda kuchota rasilimali kule NE Congo. Hata Alshabaab walipopigwa kule Tanga wakakimbili Kenya, maana yake nini? Na hao wa Mtwaravna Lindi, kila wakipigwa wanakimbili Msumbiji, maana yake nini?
 
Back
Top Bottom