Tetesi: Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...

Mkuu you are miss informed!..,Naapa kwa MUNGU Hali ni tete Mtwara,,,Tarehe 18 hii ulipocomment huu uongo Waasi wevamia Wilaya ya Tandahimba,kijiji cha Michenjele,,Wameua watu wamechoma majumba moto!.. Mkuu Wamechinja mwalimu OMBENI wa SHULE ya msingi Michenjele,,wamemteka Mwalimu Mkuu msaidizi wa SHULE ya sekondari Michenjele,,Wamemteka mke wa Mwalimu wa SHULE hiyo pia,,,,,SHULE ZIMEFUNGWA HAKUNA WANAFUNZI,,, BAADHI TU NDO WAMEHAMISHIWA TANDAHIMBA DAY..,,, NIPO TANDAHIMBA MJINI ,,,,,MILINDIMO YA RISASI NA MABOMU NILISIKIA KWA UZURI NA HATA MAITI NA KICHWA CHA MWALIMU OMBENI NILIKIONA ,,SASA SIJUI UNAONGEA NA WATU WA MTWARA IPI?....
Poleni sana! Tupe taswira ya maendeleo ya mapambano mpaka muda huu kama hutajali.
 
Nasikia washakalishwa zimebaki kambi mbili tu katika 7 zilizokua zinapigana na wajeda na Sasa wajeda wanasubiri mzeebaba awape go ahead wazema kabisa Hadi huko msumbiji Mana ndio wanafugwa huko
Wajinga sana hawa, kazi kufuga magaidi tu, mwishowe yanakuja kutusumbua huku
 
By the way, hawa magaidi wanataka nini hasa? Au wanawashwa tu na maisha wanataka kufa kwa mibomu ya Tz?
 
Mkuu you are miss informed!..,Naapa kwa MUNGU Hali ni tete Mtwara,,,Tarehe 18 hii ulipocomment huu uongo Waasi wevamia Wilaya ya Tandahimba,kijiji cha Michenjele,,Wameua watu wamechoma majumba moto!.. Mkuu Wamechinja mwalimu OMBENI wa SHULE ya msingi Michenjele,,wamemteka Mwalimu Mkuu msaidizi wa SHULE ya sekondari Michenjele,,Wamemteka mke wa Mwalimu wa SHULE hiyo pia,,,,,SHULE ZIMEFUNGWA HAKUNA WANAFUNZI,,, BAADHI TU NDO WAMEHAMISHIWA TANDAHIMBA DAY..,,, NIPO TANDAHIMBA MJINI ,,,,,MILINDIMO YA RISASI NA MABOMU NILISIKIA KWA UZURI NA HATA MAITI NA KICHWA CHA MWALIMU OMBENI NILIKIONA ,,SASA SIJUI UNAONGEA NA WATU WA MTWARA IPI?....
Dah!.. hatari sana
 
Hawa magaidi wanaovaa ndala na bunduki za kupasiana ndio unasema wana kambi. Kambi ina ghala la silaha, hifadhi ya mafuta, zana za kivita, makazi ya wapiganaji. Muhimu, kambi inakuwa na namna ya kulindwa.

Sasa magaidi wakiwa na kambi si unatuma ndege zikaishambulie na kumaliza kazi? Unadhani wao ni wajinga kiasi hicho kujirundika sehemu moja wawe target wakati hata silaha zenyewe wanabahatisha. Kwanza gharama za kuendeshea wala kujenga hiyo hawana.

Hawa hata observation post hawana sembuse camp.
Tatizo lako unafata mtiririko wa maandishi ya kwenye vitabu
 
Wewe ukifata mtiririko wa vijiweni sawa.

Mara ya mwisho kusikia kambi la magaidi ambao ni kama separatists na walikuwa well funded na serikali ni kule Pakistan ambapo India ilituma ground attack fighters na kuwagaragaza dakika sifuri mpaka Pakistan ikafanya retaliation.

Uwe gaidi umiliki kambi? Si ni sawa na jambazi kumiliki kituo chao mbadala na cha polisi. Hizi kazi ni popote, leo mpo kesho hampo kuepuka kufuatiliwa kirahisi.
 
Mkuu you are miss informed!..,Naapa kwa MUNGU Hali ni tete Mtwara,,,Tarehe 18 hii ulipocomment huu uongo Waasi wevamia Wilaya ya Tandahimba,kijiji cha Michenjele,,Wameua watu wamechoma majumba moto!.. Mkuu Wamechinja mwalimu OMBENI wa SHULE ya msingi Michenjele,,wamemteka Mwalimu Mkuu msaidizi wa SHULE ya sekondari Michenjele,,Wamemteka mke wa Mwalimu wa SHULE hiyo pia,,,,,SHULE ZIMEFUNGWA HAKUNA WANAFUNZI,,, BAADHI TU NDO WAMEHAMISHIWA TANDAHIMBA DAY..,,, NIPO TANDAHIMBA MJINI ,,,,,MILINDIMO YA RISASI NA MABOMU NILISIKIA KWA UZURI NA HATA MAITI NA KICHWA CHA MWALIMU OMBENI NILIKIONA ,,SASA SIJUI UNAONGEA NA WATU WA MTWARA IPI?....
Kwa hiyo ntwara tayari ishakuwa kama syria...!!
 
Back
Top Bottom