Kuna jambo gani katika noti za Tsh 500? Mbona watu wapo radhi kuzinunua kwa gharama kubwa?

Mkuu kuwa makini hao ni Freemason. Kaa nao mbali usijpendekezekeze kwao mwishowe utashawishika utoe kafara ndugu zako na wapendwa wako mwishoe ukaishi kwa huzuni na hela zako uchwara za damu.
Ujinga ni furushi la misumari juu ya kichwa chenye kipara
 
Matangazo ya uzushi ya watoto wa Facebook wala yasikuchanganye.

Hakuna hata anayeweza kununua hiyo noti kwa elfu moja.

Ila wapo wajinga wanaweza kuinunua kwa elfu 5 wakidhani watauza kwa 30.
Wataliwa
Nmewahi kumuuzia dgo mmoja kwa sh elf 5 na yeye akaiuza kwa 30 na mm ni shahidi wa hilo
 
Hizo mia 5 za sarafu ni Silver hizo ,watu wanatumia kutengenezea vitu vya urembo.

Halafu si kweli kwamba zinanunuliwa mpaka elfu 30 .
Mkuu sina hakika kama unalosema ni kweli. Ila kanuni moja ya pesa ni kwamba material yaliyotumika kutengeneza pesa hayanabudi kuwa na thamani ya chini kuliko pesa yenyewe.
Ukifanya material iliyotengeneza pesa iwe na thamani zaidi ya pesa basi badala ya ya kutumia pesa watauza material.
 
Yeah hata Mimi nishakutana na mmoja a akaniambia ananunua noti ya Mia tano kwa 30k ila iwe ambayo kwa ndani ukiiangalia Kwenye Mwanga iwe na kichwa cha nyerere na sio Twiga.
 
Wakuu wakianza kutafuta mifuko ya Rambo ile mikubwa ninayo kama ikiwa Dili connection nahitaji maana asahv old is gold natangaza tena mifuko ya Rambo ikiwa diliii ninayo tena rangi zote wakuu
 
Mkuu hivyo ni vipengere, hapo wanachofanya ni kuchekecha watu mwisho wa siku mnajaa.
Tapeli anaweza akakupa hela na akapotezea hata mwaka then akarudi tena.
 
Ila juz kat nilikutana na mmoja hapo mawasiliano nae ananunua pesa za zamani ..alikuwa anatembea na kipaza sauti
 
Hao wanataka kukupiga wewe hakuna kitu kama hicho endelea kufatana nao upoteze hela...
 
Mkuu hivyo ni vipengere, hapo wanachofanya ni kuchekecha watu mwisho wa siku mnajaa.
Tapeli anaweza akakupa hela na akapotezea hata mwaka then akarudi tena.
Ngoja mi nikampelekee na nyingne..... akija kutapeli atawapiga wengne mi ntakuwa nshakula hela yangu
 
Tahadhari kabla ya hatari. Hapo kuna bomu limetegwa subirini litakapolipuka.
 
Matangazo ya uzushi ya watoto wa Facebook wala yasikuchanganye.

Hakuna hata anayeweza kununua hiyo noti kwa elfu moja.

Ila wapo wajinga wanaweza kuinunua kwa elfu 5 wakidhani watauza kwa 30.
Wataliwa
tena mtapigwa muda si mrefu.maana wameshatoa na location zinapopatikana.
 
Habari za majukumu wakuu.
Naimani mmeamka salama!

Tanzania nchi yangu kuna nini kinaendelea, kila siku jambo jipya.
Kujielekeza kwenye hoja[emoji116]

Kumezuka suala la watu kuzitafuta sana noti za Shilingi 500 tena wanaspecify ziwe na kichwa cha Hayati Nyerere na nyoka.
Sizikumbuki vizuri tofauti ya hizo noti kipindi zikiwa bado hazijatoweka sokoni.

Tena wako radhi kuzinunua kwa pesa kubwa kuanzia 50,000 mpaka 100,000 kwa noti moja.
Kuna nini kinaendelea kwa wanaofahamu Wakuu??
Asanteni.
 
Acha mara moja ni utapeli huu
 
Mi ndo kwanza naskia kwako hili jambo, zina nin cha special hzo noti?
 
Nimetoa moja jana tu lakini haikuwa na Nyerere
 
Hii nchi ina wajinga wengi mpaka inakera. Sasa hiyo noti ya zamani ya 500, na utajiri; wapi na wapi!!

Ni wapumbavu pekee ndiyo wataamini huo ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…