Kuna jambo gani katika noti za Tsh 500? Mbona watu wapo radhi kuzinunua kwa gharama kubwa?

Kuna jambo gani katika noti za Tsh 500? Mbona watu wapo radhi kuzinunua kwa gharama kubwa?

Habari za majukumu wakuu.
Naimani mmeamka salama!

Tanzania nchi yangu kuna nini kinaendelea, kila siku jambo jipya.
Kujielekeza kwenye hoja[emoji116]

Kumezuka suala la watu kuzitafuta sana noti za Shilingi 500 tena wanaspecify ziwe na kichwa cha Hayati Nyerere na nyoka.
Sizikumbuki vizuri tofauti ya hizo noti kipindi zikiwa bado hazijatoweka sokoni.

Tena wako radhi kuzinunua kwa pesa kubwa kuanzia 50,000 mpaka 100,000 kwa noti moja.
Kuna nini kinaendelea kwa wanaofahamu Wakuu??
Asanteni.
Mininayo mkuu nipatie io laki nikuachie chap.NIKO SERIOUS😎
 
Wameshindwa kutajirika wakati zipo mfukoni wao, ilawanataka kutajirika baada ya kuwa zipo kwa wengine.
 
Back
Top Bottom