Kuna jambo linaniumiza toka kwa mke wangu, nimwambieje?

Hii post Ina msaada gani kwa uchumi wa Tanzania
Iwapo akili ya kijana itapata inachokiitaji itatulia.Ikitulia baada ya kupata chakula bora atafanya kazi kwa weredi tuchukulie kijana ni daktari.Atatibu watu mbalimbali ambao wakipona wataendelea kufanya kazi za kujenga taifa letu pendwa.
Huu ndo umuhimu wa hii post kwa maendeleo ya uchumi wa Tanzania.
 
Yeye ndo ajifunze halafu amfundishe mkewe au wajifunze pamoja...

Huo ubwenyenye wa kutaka kupikiwa vitamu ilhali na wewe kuvipika huwezi ati anataka mke tu ndo ajue as if jiko ni kwa ajili ya mkewe tuu.

AJIFUNZE.
 
Yeye ndo ajifunze halafu amfundishe mkewe au wajifunze pamoja...

Huo ubwenyenye wa kutaka kupikiwa vitamu ilhali na wewe kuvipika huwezi ati anataka mke tu ndo ajue as if jiko ni kwa ajili ya mkewe tuu.

AJIFUNZE.
Aisee nimekupenda bure
Chukua maua yako
Yaani kwa mindset hii daah mkeo ata “nona”
 
Nice one, big up sana kwako
 
Pole sana kwa changamoto, ingekuwa unajua kupika basi ungemfundisha kupika mkeo lkn wote mmekutana mgumbalu wa mapishi aina namna, apo ongea na dada wa kazi wako amfundishe kupika tu aina jinsi akubali kujishusha
 
Mlete dada yako au shangazi yako au mama yako akae na nyinyi kwa muda amfundishe kupika.
 
Vyakula vyote hajui kupika hadi cha usiku🤔
 
Kama jambo dogo hilo linakunyimq uhuru wa kuungumza na mke wako, vipi ikitokea maswala makubwa kama mfano ukahisi anakusariti?
 
Pole sana uyo alikulia maisha ya boarding sana hata mi dada angu mmoja yupo ivo hajui kupika mpaka tuwe wote nimfundishe kidgo angalau saiv anaweza
 
Kama jambo dogo hilo linakunyimq uhuru wa kuungumza na mke wako, vipi ikitokea maswala makubwa kama mfano ukahisi anakusariti?
Jamaa ni NICE GUY anaogopa kufikisha ujumbe kwa kudhani kwamba atamkera mwenzie,anaogopa kusema kwa kudhani mwenzie atajisikia vibaya hawa ndio nice guys ambao jamii imewazalisha,wanashindwa kuwa straight to the point hata kama jambo linawakera wao.

Mtoa mada sitoishia kukualumu tu bali nitakupa na solution kwa sababu najua kinachokutesa ni kwamba utafikishaje ujumbe na aufanyie kazi bila mtu mke kujisikia vibaya ama kuchukia.

Solution ni moja tu BE A MAN,ongea kistaarabu tu,usitis maneno ya kukera ama kuchukiza lakini yawe maneno ya ukweli.
 
Mkuu mimi kwanza nikupongeze kwa jinsi unavyompenda mkeo na jinsi ambavyo hupendi kumkwaza!
Zipo kozi nyingi u tube za mapishi,kaeni pamoja mjifunze na fanyeni mazoezi haitapita muda mtakuwa mmeshajua kupika!
 
Asome hii comment na kuifanyia kazi
 
Sasa mwanamke asiyejua kupika wa nini, kama hajui ni muhimu kujifunza. Kama mke, kuna moments lazima yeye ndio aingie jikoni, atengeneze mambo watu wafurahie nyumba yake.

Busara itumike ili asijisikie vibaya, ila kupika ni muhimu sana ajue. Achana na timu kataa ndoa, inachojua ni kuita dada×100 per day, bila dada hawawezi kumudu familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…