Kuna jambo linaniumiza toka kwa mke wangu, nimwambieje?

Anauliza mdau wangu wa karibu ambaye tunaheshimiana na kushirikiana mambo mengi.

Mimi na mke wangu tuna miaka mitatu tangu tuoane,
Nampenda sana,na yeye ananipenda sana,sijawahi kushitukia usaliti toka kwake japo akiwa kama binadamu anaweza kufanya hata kwa siri ila binafsi sijawahi mshitukia ,kwani naweza shika simu yake na kuchezea huku na kule ila hajawahi hata kuonesha hataki na siku za weekend tukiwa wote ndiyo kabisa simu anaitelekeza labda ikiita ndiyo anashughulika nayo.

Suala nalotaka kushare nawe (Mimi) ni kwamba mke wangu hajui kupika , iwe wali,ugali,sijui rost lile nalolifaidi migahawani lakini sijawahi onja taste hiyo.

Yeye anapenda sana nile chakula alichopika ,hususani mida ya jioni akiandaa dinner au siku za mapumziko lakini wapi,huwa anaotea mara Moja Moja lakini asilimia 80 hajui.

Tunaye dada wa kazi ambaye ni fundi haswa tena anajua lakini mke wangu hutaka yeye asimame kama mke anipikie na nikiangalia ni kweli anastahili kunipikia,Sasa akipika basi siku hiyo mjiandae kula mataputapu,

Dada wa kazi aliwahi kusema hili wazi kwangu ila nilimkanya nikajifanyq sijui kama chakula huwa kibovu lengo nilitaka heshima kwa my wife isishuke.

Mimi mwenyewe sijui kupika zaidi ya kuchemsha tu vitu ilimradi vimeiva ila huwa si vitamu, natamani ningekuwa najua ningemfundisha mke wangu A to Z jinsi ya kuandaa misosi.

Je,nimuanzeje?

Nimwambie ukweli?

Je,lugha gani nitumie ili tusigombane?

Nampenda sana mke wangu.

Kijana mdogo anawauliza nyie wanaume wa jamii forum,hata wanawake mnaweza kuchangia.
Kupika inatgemea na vitu vilivyopo sana una nyanya na kitunguu tu utegemee mapishi ya maana?
 
Mueleze kwa namna na lugha ya upendo, kisha anza kuangalia namna ya mapishi kwenye sim yako huku ukimshorikisha mtazame kwa pamoja.
Then baada ya hapo, anza kuandaa wakati na muwe mnapika pamoja kile mlicho chagua kulitazama kwenye mitandao
 
Noma sana!
 
Wanaojua kupika ndo hawana nyash 😀😀
Kuna wapishi wengi sana mtandaoni wanafundisha step by step wengine ni Bure hata wa kulipia wapo
Ajifanye anapenda aina flan ya vyakula achukue video au picha kabisa mtandaoni amwambia naomba mkewang nipikie hiv Leo natamni kula hivi itampa hamu mkew ya kupika kitu mumewe anatak
Kuna malkia foods
Lilyan komba
Food diary
Foodlovers hakika akiwafatilia Hawa watu atajua kupika
 
Anauliza mdau wangu wa karibu ambaye tunaheshimiana na kushirikiana mambo mengi.

Mimi na mke wangu tuna miaka mitatu tangu tuoane,
Nampenda sana,na yeye ananipenda sana,sijawahi kushitukia usaliti toka kwake japo akiwa kama binadamu anaweza kufanya hata kwa siri ila binafsi sijawahi mshitukia ,kwani naweza shika simu yake na kuchezea huku na kule ila hajawahi hata kuonesha hataki na siku za weekend tukiwa wote ndiyo kabisa simu anaitelekeza labda ikiita ndiyo anashughulika nayo.

Suala nalotaka kushare nawe (Mimi) ni kwamba mke wangu hajui kupika , iwe wali,ugali,sijui rost lile nalolifaidi migahawani lakini sijawahi onja taste hiyo.

Yeye anapenda sana nile chakula alichopika ,hususani mida ya jioni akiandaa dinner au siku za mapumziko lakini wapi,huwa anaotea mara Moja Moja lakini asilimia 80 hajui.

Tunaye dada wa kazi ambaye ni fundi haswa tena anajua lakini mke wangu hutaka yeye asimame kama mke anipikie na nikiangalia ni kweli anastahili kunipikia,Sasa akipika basi siku hiyo mjiandae kula mataputapu,

Dada wa kazi aliwahi kusema hili wazi kwangu ila nilimkanya nikajifanyq sijui kama chakula huwa kibovu lengo nilitaka heshima kwa my wife isishuke.

Mimi mwenyewe sijui kupika zaidi ya kuchemsha tu vitu ilimradi vimeiva ila huwa si vitamu, natamani ningekuwa najua ningemfundisha mke wangu A to Z jinsi ya kuandaa misosi.

Je,nimuanzeje?

Nimwambie ukweli?

Je,lugha gani nitumie ili tusigombane?

Nampenda sana mke wangu.

Kijana mdogo anawauliza nyie wanaume wa jamii forum,hata wanawake mnaweza kuchangia.
Na yeye anakushangaa mwanaume gani hujui kupika
 
Mpe dada likizo mbali wenyewe, mtafute mpishi ambaye atawafundisha wote kupika ndani ya mwezi mmoja. Ila hizo sessions muwe mnafanya wote na weww ukiwepo. It's a good therapy. Ila anza Kwa kuwa unaongelea na kumuonesha mapishi mbalimbali na unamuuliA kijanja kama anaweza....then ndio suggest hiyo Kwa upendo kbs ukionyesha weww una Nia ya kutaka mjifunze wote.

Pole sana aisee...
 
Anauliza mdau wangu wa karibu ambaye tunaheshimiana na kushirikiana mambo mengi.

Mimi na mke wangu tuna miaka mitatu tangu tuoane,
Nampenda sana,na yeye ananipenda sana,sijawahi kushitukia usaliti toka kwake japo akiwa kama binadamu anaweza kufanya hata kwa siri ila binafsi sijawahi mshitukia ,kwani naweza shika simu yake na kuchezea huku na kule ila hajawahi hata kuonesha hataki na siku za weekend tukiwa wote ndiyo kabisa simu anaitelekeza labda ikiita ndiyo anashughulika nayo.

Suala nalotaka kushare nawe (Mimi) ni kwamba mke wangu hajui kupika , iwe wali,ugali,sijui rost lile nalolifaidi migahawani lakini sijawahi onja taste hiyo.

Yeye anapenda sana nile chakula alichopika ,hususani mida ya jioni akiandaa dinner au siku za mapumziko lakini wapi,huwa anaotea mara Moja Moja lakini asilimia 80 hajui.

Tunaye dada wa kazi ambaye ni fundi haswa tena anajua lakini mke wangu hutaka yeye asimame kama mke anipikie na nikiangalia ni kweli anastahili kunipikia,Sasa akipika basi siku hiyo mjiandae kula mataputapu,

Dada wa kazi aliwahi kusema hili wazi kwangu ila nilimkanya nikajifanyq sijui kama chakula huwa kibovu lengo nilitaka heshima kwa my wife isishuke.

Mimi mwenyewe sijui kupika zaidi ya kuchemsha tu vitu ilimradi vimeiva ila huwa si vitamu, natamani ningekuwa najua ningemfundisha mke wangu A to Z jinsi ya kuandaa misosi.

Je,nimuanzeje?

Nimwambie ukweli?

Je,lugha gani nitumie ili tusigombane?

Nampenda sana mke wangu.

Kijana mdogo anawauliza nyie wanaume wa jamii forum,hata wanawake mnaweza kuchangia.
Dah watoto wa kishua wakianza kujitegemea ndo utaanza kusikia vilio😁
 
Andaeni shindano la kupika ninyi wawili.
Hapo hapo utapata nafasi ya kumpa ujumbe wako kama anakoseaga ama laah.
 
Usione shida kumwambia.

Mtoke kwenda matembezi mkiwa wawili. Kaeni sehemu agiza chakula mle mkishashiba muulize anakionaje chakula. Then tafuta sehemu yenye garagha na utulivu muomne msamaha na kumeleza kuwa unataka kuongea nae mambo mawilimatatu ili kuiwekea NAKSHI ndoa yao kwani unampenda sana na unaumia kuona jinsi anavyopika chakula.

Ya kwamba wewe unaweza kuvumilia kwa kuwa unampenda je wakija wageni itakuwaje.

Baada ya kuelewana mtafutie darasa la kujifunza Mapishi japo kwa wiki marambili itamsaidia sana .
 
Anauliza mdau wangu wa karibu ambaye tunaheshimiana na kushirikiana mambo mengi.

Mimi na mke wangu tuna miaka mitatu tangu tuoane,
Nampenda sana,na yeye ananipenda sana,sijawahi kushitukia usaliti toka kwake japo akiwa kama binadamu anaweza kufanya hata kwa siri ila binafsi sijawahi mshitukia ,kwani naweza shika simu yake na kuchezea huku na kule ila hajawahi hata kuonesha hataki na siku za weekend tukiwa wote ndiyo kabisa simu anaitelekeza labda ikiita ndiyo anashughulika nayo.

Suala nalotaka kushare nawe (Mimi) ni kwamba mke wangu hajui kupika , iwe wali,ugali,sijui rost lile nalolifaidi migahawani lakini sijawahi onja taste hiyo.

Yeye anapenda sana nile chakula alichopika ,hususani mida ya jioni akiandaa dinner au siku za mapumziko lakini wapi,huwa anaotea mara Moja Moja lakini asilimia 80 hajui.

Tunaye dada wa kazi ambaye ni fundi haswa tena anajua lakini mke wangu hutaka yeye asimame kama mke anipikie na nikiangalia ni kweli anastahili kunipikia,Sasa akipika basi siku hiyo mjiandae kula mataputapu,

Dada wa kazi aliwahi kusema hili wazi kwangu ila nilimkanya nikajifanyq sijui kama chakula huwa kibovu lengo nilitaka heshima kwa my wife isishuke.

Mimi mwenyewe sijui kupika zaidi ya kuchemsha tu vitu ilimradi vimeiva ila huwa si vitamu, natamani ningekuwa najua ningemfundisha mke wangu A to Z jinsi ya kuandaa misosi.

Je,nimuanzeje?

Nimwambie ukweli?

Je,lugha gani nitumie ili tusigombane?

Nampenda sana mke wangu.

Kijana mdogo anawauliza nyie wanaume wa jamii forum,hata wanawake mnaweza kuchangia.
Kama kichwani na kitandani yuko vzr, mambo ya mapishi yanafundishika tu, tena kwa kuwa na ww hujui kupika, basi nendeni kozi pamoja VETA na nots mtakuwa mnashea kwa kuwa mnapendana. Wote mtafaulu
 
Swali unaacha kiasi gani kama kodi ya meza?sio unaacha buku tano halafu unataka msosi VIP
 
Ile kwenye shida na raha
Shida ndio hiyo

Mweleze kwa hekima
 
Jambo dogo hilo mkuu kwa mwanamke. Inawezekana unapenda misosi mibaya kwa afya lakini mitamu, mkeo anazingatia afya. Mboga kama ni nyama anachemsha anaweka pembeni, akikata kata kitunguu chwaa katika mafuta yaliyochemka, vikibadilika kuwa brown anaweka nyanya zikiiva, anaweka nyama, zikichanaganyika anaweka supu ya ile nyama, au maji, chumvi kiasi anafunika vinatokota.

Basic kabisa hiyo, kingine inawezekana mkeo ana haraka, anapeleka vitu haraka haraka, kupika ni timing ya kila kitu kwa wakati wake

Kwa kuwa unaogopa kumuumiza kisaikolojia, basi katika hizo siku za weekend download video youtube, jifunze nae kupika msosi unaoupenda, ili akikosea jifanye mmekosea wote...kwanza litakuwa jambo linaloimarisha umoja wenu, kufurahi na pia kukupa changamoto mpya ya kujifunza.
Kama video ngumu, download hata ebook mtandaoni.
 
Anauliza mdau wangu wa karibu ambaye tunaheshimiana na kushirikiana mambo mengi.

Mimi na mke wangu tuna miaka mitatu tangu tuoane,
Nampenda sana,na yeye ananipenda sana,sijawahi kushitukia usaliti toka kwake japo akiwa kama binadamu anaweza kufanya hata kwa siri ila binafsi sijawahi mshitukia ,kwani naweza shika simu yake na kuchezea huku na kule ila hajawahi hata kuonesha hataki na siku za weekend tukiwa wote ndiyo kabisa simu anaitelekeza labda ikiita ndiyo anashughulika nayo.

Suala nalotaka kushare nawe (Mimi) ni kwamba mke wangu hajui kupika , iwe wali,ugali,sijui rost lile nalolifaidi migahawani lakini sijawahi onja taste hiyo.

Yeye anapenda sana nile chakula alichopika ,hususani mida ya jioni akiandaa dinner au siku za mapumziko lakini wapi,huwa anaotea mara Moja Moja lakini asilimia 80 hajui.

Tunaye dada wa kazi ambaye ni fundi haswa tena anajua lakini mke wangu hutaka yeye asimame kama mke anipikie na nikiangalia ni kweli anastahili kunipikia,Sasa akipika basi siku hiyo mjiandae kula mataputapu,

Dada wa kazi aliwahi kusema hili wazi kwangu ila nilimkanya nikajifanyq sijui kama chakula huwa kibovu lengo nilitaka heshima kwa my wife isishuke.

Mimi mwenyewe sijui kupika zaidi ya kuchemsha tu vitu ilimradi vimeiva ila huwa si vitamu, natamani ningekuwa najua ningemfundisha mke wangu A to Z jinsi ya kuandaa misosi.

Je,nimuanzeje?

Nimwambie ukweli?

Je,lugha gani nitumie ili tusigombane?

Nampenda sana mke wangu.

Kijana mdogo anawauliza nyie wanaume wa jamii forum,hata wanawake mnaweza kuchangia.
Wapike wote tu the game will improve

Anunue books za mapishi na atumie youtube

Things will get better
 
Back
Top Bottom