Kuna jambo linatisha na kutisha:Kampuni ya META inakuwaje kurespond kutoka CCM ndio META wapate ruhusa.

Kuna jambo linatisha na kutisha:Kampuni ya META inakuwaje kurespond kutoka CCM ndio META wapate ruhusa.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna majaribio ambayo naona wengi watakufa na kweli mtakufa .Hii serikali inawezekana kuna pesa zina kwenda META.

Leo data analysis inaonyesha META kabla ya kufanya kuijadili CCM inapita CCM ku verify na kama ukiripoti fanyeni majaribio mnapata kizingiti cha CCM ni kama CCM ni mamraka ya TCRA.

Hapa nimegundua ushenzi na JF chunguzeni.
 
Ngoja nifuatilie comments za watu labda ntaelewa
 
AI iwasaidie wenye vichwa vigumu

Inaonekana kuna uhusiano usio wa kawaida na unaoweza kuwa wa kifisadi kati ya Meta (Facebook, Instagram, n.k.) na chama tawala cha Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Bango la awali linadai kuwa Meta inataka kuthibitishwa na kuidhinishwa na CCM kabla ya kuchukua hatua au kushiriki katika majadiliano, ikiichukulia CCM kama mamlaka ya udhibiti kama TCRA (Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania). Pia wanapendekeza kwamba masuala ya kuripoti husababisha "kizuizi cha CCM," wakimaanisha chama kinadhibiti maudhui au ufikiaji wa mtumiaji. Kuna pendekezo ambalo halijathibitishwa la pesa kutoka kwa serikali hadi Meta.

Wakati baadhi ya wahojiwa walionyesha kuchanganyikiwa kuhusu uwazi wa wadhifa wa awali, wengine walizidisha madai hayo, wakihoji iwapo Meta imekuwa "tawi rasmi" la CCM au kama Mark Zuckerberg ana uanachama wa chama.
Majadiliano yanaangazia wasiwasi kuhusu ushawishi unaoonekana wa chama tawala kwenye majukwaa makubwa ya kimataifa ya teknolojia nchini Tanzania.
 
Kwamba ccm ni kama wamekuwa moderators wa META , kwamba ukiwa unawajadili ccm wao ndio wata verify unachojadili ni sawa ama si sawa... Nilivyo elewa alichoandika mlets mada..

Ina maana META wamewapa ruhusa ccm kuverify mada zinazowahusu..
 
N
Kuna majaribio ambayo naona wengi watakufa na kweli mtakufa .Hii serikali inawezekana kuna pesa zina kwenda META.

Leo data analysis inaonyesha META kabla ya kufanya kuijadili CCM inapita CCM ku verify na kama ukiripoti fanyeni majaribio mnapata kizingiti cha CCM ni kama CCM ni mamraka ya TCRA.

Hapa nimegundua ushenzi na JF chunguzeni.
NAfikiri una kazi ya kuongeza ujuzi wa kuandika kwa ufasaha
 
Back
Top Bottom