Kuna jambo (tukio) gani la kisiasa Kawe mpaka Wananchi wamekatazwa 'Kuzurura' hovyo Tanganyika Packers?

Kuna jambo (tukio) gani la kisiasa Kawe mpaka Wananchi wamekatazwa 'Kuzurura' hovyo Tanganyika Packers?

Kuanzia Wiki iliyopita hadi leo hii nimekuwa nikiyaona yafuatayo katika Jimbo la Uchaguzi la 'Cow Way' Jijini Dar es Salaam.....

1. Usafi unafanyika wa hali ya juu
2. Barabara zinatengenezwa
3. Kuna Sura nyingi mpya mpya
4. Ukiwa tu Mwenzako ukianza Kuzungumzia Siasa ghafla unaona Umati umeongezeka
5. Kuna Watu wanahoji Maswali ya Kimitegomitego sana
6. Uwanja wa Tanganyika Packers kuanzia leo uko chini ya Vijana wa Kazi wakiulinda
7. Askari Polisi na Mgambo bila kuwasahau Ulinzi Shirikishi wapo 'busy' mno Tanganyika Packers.

Wengine tupo mbali sana na Vyombo vya Habari nchini hivyo kwa yoyote anayejua nini Kinaendelea hapo 'Cow Way' atuhabarishe tu sote tafadhali.
Dalili za ujio wa mfalme!
 
Atakuja Rais anaesubiri kuapishwa kufanya kampeni ndani ya wiki hii. Kutokana na yeye kuwa nje ya ugombea ni Rais wa nchi hivyo usalama wake ni usalama wa nchi yetu hivyo maandalizi lazima yawepo.
The point is that, Meko fool lacks the mental capacity to serve this country as a local government chairman, sorry I mean a president.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niongezee 'Tusi' lingine tafadhali na ukimaliza naomba unionyeshe ni wapi katika 'Uzi' wangu huu huyu 'JPM' wako 'amehusishwa' nao kwa 100%.
Hivi hawa watu waki- comment bila matusi wanapungukiwa na nini? Itikadi au mahaba? Tupingane bila kutukanana ndio heshima isiyo nunulika dukani...
 
Hivi hawa watu waki- comment bila matusi wanapungukiwa na nini? Itikadi au mahaba? Tupingane bila kutukanana ndio heshima isiyo nunulika dukani...
Uvccm tulitegemea mda huu muwe mshafika kilimanjaro kukabiliana na moto, Sasa huo uzalendo pori wenu ni wa kuimba mapambio na kumsifu meko tu, linapokuja suala linalohitaji uzalendo mnajificha kama mnadaiwa kodi na faza house mzaramo [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom