Kuna Jambo Uongozi uliopo madarakani usipoangalia linaenda kutokea kama la 1992 kwa Jirani yetu

Kuna Jambo Uongozi uliopo madarakani usipoangalia linaenda kutokea kama la 1992 kwa Jirani yetu

Wakenya wanajifanya wajuaji sana ila bado hata robo ya kujitambua bado
Angalia jiji linavyonuka majizi mpaka police wao
Ukipita na hela border wanawatonya police wakusubiri mbele unashushwa

Siasa zao ni ukabila tu
Waache wamalizane tu na ipo siku patawaka zaidi na watamalizana haswa kwa kuamini eti ni kujitambua

Al shabab nao wapate mwanya hapo
 
Hao akina Uhuru wamehodhi ardhi kubwa sana, waachie sehemu ya ardhi raia wengine nao wafaidi nchi yao.....Gachagua is right, ubinafsi siyo jambo zuri.
 
sasa kumbe issue yao haikuwa katiba bali walipaswa watafute namna yakusort tatizo la ukabila kwanza.
Mkuu utakuwa uelewi siasa za ukanda huu au hata za Kenya, issue ya ukabila hapo siyo ya leo au jana.

Ni mfano wa mbali wa pale Rwanda as we seen, makabila yenye nguvu ndiyo yanakula mema ya nchi, nyie hapa Tanganyika mshukuru eana muzee Nyerere aliua makabira leo kuna watu wamataka kurudi nyuma!.
 
"Gachagua" kweli huyu mwamba ana roho mbaya sana na inasemekana ndiye alipanga uvamizi wa shamba la mstaafu Uhuru.

Nimeandika pale juu, ambapo kulitokea vita ya wenyewe kwa wenyewe ambapo ilileta msuguano sana, so hiki kinachotengenezwa na huu uongozi yetu macho!.
1992 kulitokea nini na wapi kiongozi? Na kama ni yale mauaji ya Rwanda ni 1992 au 1994?
 
1992 kulitokea nini na wapi kiongozi? Na kama ni yale mauaji ya Rwanda ni 1992 au 1994?
Mkuu nazungumzia issue ya Kenya hapa, mwaka ule wa 1992 yapata kama watu 5,000 waliuawa na wengine 75,000 kuhama kutoka kwenye makazi yao katika mkoa wa bonde la Ufa.
 
Demokrasia ni mfumo wa kizungu na ni wakishamba ..nawasilisha.
 
Amani muswano.

Tupo chungu cha tano leo ndugu zangu ni kasi ya ajabu sana hii.

Nafuatilia siasa za jirani zetu hapo Kenya, kuna mambo yanafanyika siyo ya kistaarabu kwa kweli.

Naona huyu mujamaa makamu wa Rais ndg Rigathi Gachagua hana furaha anapoona wakenya wana amani.

Leo bana kuna shamba la miti lipo eneo la Northlands inasemekana ni la familiai ya Uhuru, sasa huyo makamu wa Rais katuma convoy ya watu wake na watu anaowajua yeye wamevamia na kuanza kukata ovyo miti.

Hilo siyo jambo zuri kwa kiongozi mkubwa wa kitaifa kufanya ubaya unaoonekana kwa raia kuna baadhi ya wakenya wanasema huyu jamaa anataka kufanya kama mapigano ya kikabila ya mwaka 1992.

Kama jirani mwema tu hapa ambaye jeshi letu la police linasifiwa kwa kutenda wema likija kunikamata nasema ndg makamu wa Rais Gachagua hicho unachokifanya hakikubariki.

STOP IT!.
Kuna proof gani unaweka kutuwekea hapa kuthibitisha kwamba hao wahuni walitumwa na Vice President?

Acheni Siasa za Maji Taka. Mmegundua Vice president ni Threat mkubwa kwenu. Ndio mnaanza kumchafua.
 
Mkuu nazungumzia issue ya Kenya hapa, mwaka ule wa 1992 yapata kama watu 5,000 waliuawa na wengine 75,000 kuhama kutoka kwenye makazi yao katika mkoa wa bonde la Ufa.
Leta proof ya vice president kuwatuma hao wahuni
 
Amani muswano.

Tupo chungu cha tano leo ndugu zangu ni kasi ya ajabu sana hii.

Nafuatilia siasa za jirani zetu hapo Kenya, kuna mambo yanafanyika siyo ya kistaarabu kwa kweli.

Naona huyu mujamaa makamu wa Rais ndg Rigathi Gachagua hana furaha anapoona wakenya wana amani.

Leo bana kuna shamba la miti lipo eneo la Northlands inasemekana ni la familiai ya Uhuru, sasa huyo makamu wa Rais katuma convoy ya watu wake na watu anaowajua yeye wamevamia na kuanza kukata ovyo miti.

Hilo siyo jambo zuri kwa kiongozi mkubwa wa kitaifa kufanya ubaya unaoonekana kwa raia kuna baadhi ya wakenya wanasema huyu jamaa anataka kufanya kama mapigano ya kikabila ya mwaka 1992.

Kama jirani mwema tu hapa ambaye jeshi letu la police linasifiwa kwa kutenda wema likija kunikamata nasema ndg makamu wa Rais Gachagua hicho unachokifanya hakikubariki.

STOP IT!.
Wewe una ushahidi kama hao vijana walitumwa na huyo uliye mtaja ?
 
Kuna proof gani unaweka kutuwekea hapa kuthibitisha kwamba hao wahuni walitumwa na Vice President?

Acheni Siasa za Maji Taka. Mmegundua Vice president ni Threat mkubwa kwenu. Ndio mnaanza kumchafua.
Wee upo dunia gani?.
Hata kama upo dunia hii niliyopo basi punguza jazba na usiwe wa ovyo.

Hata pasipo video unapaswa kufuatilia siasa zenu, utakuwa mtu wa ajabu usielewe nini kiongozi wenu na mhimili wa serikali anatamka!.
 
Ndiyo maana muzee RAO anasema fungueni saver tuhakiki hawataki.

Kutokana na hili Uhuru hatakaa kimya kuna jambo atafanya nahisi kupitia haya haya demonstrations.
Keep the point and stay on!.
Uhuru hana tofauti na Jakaya, wamemaliza muda wao lakini wanaanda purukushani kuwakwamisha waliopo kwenye kiti! Sijui wanataka nini hawa wazee!
 
Ile ya Rwanda sidhani kama itakuja kutokea tena, watu laki moja ndani ya siku 90 za hofu na mashaka.

Gachuma anafanya siasa za kishamba, , ni vile tu katiba imnampiga pini.

Naamini mahakama itafanya kazi yake vizuri , Kenya huo mhimili japo ni corrupt lakini upo huru.
Aisee dah.....!! Simjui lakini.
 
Uhuru hana tofauti na Jakaya, wamemaliza muda wao lakini wanaanda purukushani kuwakwamisha waliopo kwenye kiti! Sijui wanataka nini hawa wazee!
Mkuu Uhuru kaondoka kawakabidhi na kiwaachia nchi salama kabisa, so what's wrong kwake, kuvamiwa shamba lake au..?
 
Huyo ndio mtu uliyemtaja hapo juu ktk uzi wako ?
Utakuwa bado mdogo sana wewe kwenye wigonaa siasa.

Huko Tanzania watu na viongozi kadhaa wanamshutumu rais Magufuri kutokana na waliyofanya wale waliokuwa chini yake, kama unaelewa hapo ni kwa nini iwe hivyo?.

Twende taratibu kwanza nione uelewa wako!.
 
Hao akina Uhuru wamehodhi ardhi kubwa sana, waachie sehemu ya ardhi raia wengine nao wafaidi nchi yao.....Gachagua is right, ubinafsi siyo jambo zuri.
Afrika ni shida ! Ipo documentary kwenye YouTube ya Al-Jazeera walifanya investigations kuhusu umafia wa dhahabu ya Zimbabwe unavyofanywa !! Wanaohusika ni wakubwa na mwezeshaji wa huo umafia ni yule muhindi aliyekuwa na ile kesi ya Goldeberg ya Kenya 🇰🇪 !! Tafuta Gold Mafia Episode 1 . 😱😱 Lini tutaendelea Afrika ??!!
 
Utakuwa bado mdogo sana wewe kwenye wigonaa siasa.

Huko Tanzania watu na viongozi kadhaa wanamshutumu rais Magufuri kutokana na waliyofanya wale waliokuwa chini yake, kama unaelewa hapo ni kwa nini iwe hivyo?.

Twende taratibu kwanza nione uelewa wako!.
Nimesoma baadhi ya maoni yako na nimegundua ww bado sanaa ktk siasa izi za kikanda nimeona niwe mwerevu nikujibu kwa haka ka sms kamoja tu
 
Nimesoma baadhi ya maoni yako na nimegundua ww bado sanaa ktk siasa izi za kikanda nimeona niwe mwerevu nikujibu kwa haka ka sms kamoja tu
Sawa kabisa mkuu, kwanza shukurani kwa kusoma maoni yangu, pili nakushauri unaonekana ni mjuvi mkubwaaa saaaana wa siasa za ukanda wa maziwa makuu.

Sasa basi kwa nini usianzishe mada yako yenye weledi na uelewa wako mkubwa?.

Kitu ambacho huwa sibishani na watu kama wewe ni kujifanya mjuaji alafu kumbe hujui kitu.
 
Back
Top Bottom