Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Na kalaga baho
Wazee toka nije paje nimevutiwa sana na maisha ya ubichi boi, imenipa ari na nguvu ya kuongeza siksi paki na kushinda na vibukta bichi. Hapa nina mpango nifuge na rasta kabisa
Katika pitapita zangu nikakutana na jimama flani hiv "age go" yqni linakula pensheni za pesa hapa unguja kama halina akili nzuri, nikasema potelea mbali. Nikajikoki kulitongoza hivyo hivyo. Wanangu wakanikaririsha maneno ya kufloo yani "jambo jambo, hakuna matata" alafu "uriande setula meryente"
Basi wakuu jimama sio zuri sana lina take dogo kam skonsi na ziwa la kutosha. Na mm ndo nalielewa kichizi na limeniambia litanijengea hoteli hapa niwaajir vijana alafu twende kwao Sao Paulo. Wamasai leteni mbinu nalipagawisha vipi linishushie mibaraka mwaka huu 2025.
Nongwa