Duuuh mjomba Madelu kaikunjia kwa kati hapo aking'ata mara mbili tu ,hakibaki kitu.ntakunywa na chapati moja
View attachment 3190715
Labda sijafika hapo ulipo ila nimefika maeneo hayo.Hapo kuna unyama wa kila aina, wanapika vyakula vya kichina tu. Sema wewe ukija nitakupeleka sehem wali wa buku mbili na mia tano na wazungu wamo. Kuna wazungu zanzibar huwang'oi tena yani wamelowea kabisa
Thanks, happy new year na kwako rafiki......Mkuu Evelyn Salt happy new year and Merry Christmas please keep praying for me 2025 naona nikiwa mbali Sana
Mwachiluwi πNipe laki 5 nikupe siri mie najua ukinywa hii hatoboi
Em niache mbavu zinaniuma, kwahiyo wote na mwenzio baba yeyo mnamdanga bibi wa kizungu?? πΉπΉπΉHii ni win win situation mkuu, hapa nipo nae na kuna mmasai anamvizia eti anajifanya anataka amuuzie dawa ya kung'arisha ngozi
Tena anajiuza rejareja hata haogopi πΉπΉπΉππππ bro umeamua kujiuza?? Yani zile haso na motivesheni umezipa kikono umeamua kudanga? πππ
Sa nani atatupa machimbo ya kariakoo jamani, winga wetu kaenda kujiuza unguja ππππTena anajiuza rejareja hata haogopi πΉπΉπΉ
Kama kashindwa nikamue mwenyewe latina hiyo πKamsaidie mpige 3sum πΉπΉ
Kumbe ni wewe umefanya haya
nimefika
Setula meryente ila nimecheka leo πΉπΉπΉKama kashindwa nikamue mwenyewe latina hiyo π
Winga kazingua sana.!! πΉπΉπΉSa nani atatupa machimbo ya kariakoo jamani, winga wetu kaenda kujiuza unguja ππππ
Winga kapata tabu kujilazalaza mwenye mchanga kama nyau afu unaomba latina yake.....sio poa πΉKama kashindwa nikamue mwenyewe latina hiyo π
Mnoo πππ yani katumotiveti humu, biashara ya yebo, plastic, sijui nini afu huyooooo kumbe ana biashara yake ya mbrrrroo visiwani πππWinga kazingua sana.!! πΉπΉπΉ