Kuna kabila lolote linaloweza kushindana kwa ubishi kama Waha wa Kigoma

Kuna kabila lolote linaloweza kushindana kwa ubishi kama Waha wa Kigoma

Inasemekana waluguru ndio wanao shikiria rekodi ya kubishana....kiasi kwamba akichoka anamuita mwenzie anampa intro alafu anamuacha aendelee na ubishi.....
 
Ili kabila nimelipa nyota tano kwa ubishi waliozaliwa nao.
Yani anaweza kubishana na TV mpaka tv ukaona imenyong’onyea.

Wahaa kwa ubishi wao wanaweza kuishi kokote bila kuogopa.

Ukiwa na mwanamke wa kabila ilo hata ukimfumania anaweza kukubishia na akashinda.

Nahisi wahaa na wasambaa ni ndugu wanafanana kwa ubishi

SI unit.

MRUNDI 1 = WAHA 10

Yaani kwa UBISHI MRUNDI mmoja is equivalent to WAHA 10

MRUNDI MMOJA = WAHA 10
 
Wamakonde
True wamakonde pia Tena both WAKIKE NA WAKIUME,

YAANI WAMAKONDE UBISHI WA KUCHANJIWA NI WABISHI KIASI KWAMBA NI TISHIO KWA NCHI KUPATA KATIBA MPYA 😂🤣

WAGUMU KUELEWA PIA WABISHI SANA Ie. NENDA MBAGALA NA VIUNGA VYAKE KAJIONEE MWENYEWE.
 
Hii ni kwel changanya na ile lafudhi yao tena
 
Back
Top Bottom