Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Usifananishe waha na vitu vya ovyo wewe
Kwanza waha ni mahandsomek kila Kona
Hawana vibamia wala upungufu WA nguvu
Wana sura na miili ya kiume
Halafu siku hizi Wana hela sasa.ila mama yangu Hadi muha akupe hela yake wino WA k utakuwa umeisha.
Ila tunabanana nao hivo hivo maana ni watu wema aisee.kuliko uwe na rafiki mchaga Bora muha mara mia