Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
waha mmeanza..Ubishi hauna connection yeyote na kabila la mtu.
Cc. Babalevowaha mmeanza..
πππNdo maana wanasemaga huyu mbishi km mmakonde tenawale wa msumbiji wenye chale ndio balaaππKuna hao waha sipingi, wamakonde oyaah
Halafu hawana aibuSijui mkuu, ila wale watu wanaongea aloo.
Kuna dada ana asili ya kiarabu, familia yake ilikulia kule kwa waha, yaani familia nzima ni waongeaji balaa.
Ni wabishi wamakonde sijawahi ona khaaπππNdo maana wanasemaga huyu mbishi km mmakonde tenawale wa msumbiji wenye chale ndio balaaππ