Oiii wadau, sijui ni mimi tu ila sikuhizi napigiwa sana simu na watoa huduma wa makampuni mbalimbali hasa haya ya kubettisha na kiukweli huwa mara nyingi nawamind kwasabab nakua niko busy na shughuli zangu. Ila kuna hawa wahudumu wa Sokabet weeee, kwanza sauti zao tu! zinashawishi unatamani hata asikate simu.. Big Up kwao ase!