Kuna kanisa moja dogo lipo Kigamboni, naomba utembelee hapo kama unahitaji kukutana na mtumishi wa kweli na utanishukuru

Kuna kanisa moja dogo lipo Kigamboni, naomba utembelee hapo kama unahitaji kukutana na mtumishi wa kweli na utanishukuru

Hivi kama kweli Mungu yupo kwanini usiongee naye wewe mwenyewe?
Lazima mpaka umpate kuwadi wa kukuungnisha naye?

MTU yoyote aliewekwa NDANI ya mwili wa nyama na damu anao uwezo wa kusema na MUNGU aliemuumba na akamsikia akiamua
 
Back
Top Bottom