Kuna kazi mtu akiipata lazima tu tabia itabadilika kwa asilimia kadhaa kuendana na mazingira

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Kuna kazi ukiipata hata kama uwe na roho nzuri kiasi gani itakubadilisha tu kwa asilimia kubwa ili uendane nayo

Mfano: kazi ya utrafiki,ukondakta hasa kwa mikoa ya Arusha na dar,kukusanya ushuru,

Hizo ni baadhi tu
 
Kuwa muwazi umetoa.mfano wa Trafiki na konda hujatoa.mabadiliko yao kabla ya kupata kazi na baada dadavua tafadhali
 
Back
Top Bottom