LA7 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 655 Reaction score 2,369 Oct 15, 2023 #1 Kuna kazi ukiipata hata kama uwe na roho nzuri kiasi gani itakubadilisha tu kwa asilimia kubwa ili uendane nayo Mfano: kazi ya utrafiki,ukondakta hasa kwa mikoa ya Arusha na dar,kukusanya ushuru, Hizo ni baadhi tu
Kuna kazi ukiipata hata kama uwe na roho nzuri kiasi gani itakubadilisha tu kwa asilimia kubwa ili uendane nayo Mfano: kazi ya utrafiki,ukondakta hasa kwa mikoa ya Arusha na dar,kukusanya ushuru, Hizo ni baadhi tu
naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,961 Reaction score 5,460 Oct 16, 2023 #2 Shakambuna said: Kuna kazi ukiipata hata kama uwe na roho nzuri kiasi gani itakubadilisha tu kwa asilimia kubwa ili uendane nayo Mfano: kazi ya utrafiki,ukondakta hasa kwa mikoa ya Arusha na dar,kukusanya ushuru, Hizo ni baadhi tu Click to expand... Kuwa muwazi umetoa.mfano wa Trafiki na konda hujatoa.mabadiliko yao kabla ya kupata kazi na baada dadavua tafadhali
Shakambuna said: Kuna kazi ukiipata hata kama uwe na roho nzuri kiasi gani itakubadilisha tu kwa asilimia kubwa ili uendane nayo Mfano: kazi ya utrafiki,ukondakta hasa kwa mikoa ya Arusha na dar,kukusanya ushuru, Hizo ni baadhi tu Click to expand... Kuwa muwazi umetoa.mfano wa Trafiki na konda hujatoa.mabadiliko yao kabla ya kupata kazi na baada dadavua tafadhali