Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Rudia nilichoandika. Kesi inayofunguliwa ni ipi? Si udhalilishaji kutumia picha.Haya kiko wapi? Niliyosema ndiyo yamedhihirika sasa, ukajifanya unajua sheria haya nendeni mkawafunge hao watu.
Kesi inafunguliwa tofauti. Na hamna atakayeshinda.
Kitu kingine hawa watu wangeenda mahakamani na si kufungwa.
Wako wapi waliokamatwa ubungo. Mbona wanaongelewa wa sinza tu.?
Hatushindani tunaelekezana. Mnataka kushindani na mimi tena. Msome tena mlichoandika.