Kuna kidada cheupe pale TANESCO Mbezi Beach Afrikana nani anakipa jeuri namna ile?

Kidada kimejiongeza tukipongeze. Hapo hakijaiba kimekupa huduma na wewe umetoa 1500 (buku jero).

Umetumia bando la 2000 kuja kulalamikia lisiti tu? Wapare mnapenda sana kesi.
 
Asante ushauri wako
 
Asante ushauri wako
Hivi nchi yetu kweli ina watu wajinga namna hii? Mfanyakazi wa shirika la umma anafanya biashara kwenye sehemu ya kazi halafu
Hivi nchi yetu kweli ina watu wajinga namna hii? Mfanyakazi wa shirika la umma anafanya biashara kwenye sehemu ya kazi halafu
kuna watu wanaona ni sawa! Unajua vitu kama hivi vikiruhusiwa vinaweka loopholes gani kwenye utoaji huduma? Huoni kuwa wateja watakuwa wanaambiwa kuwa picha hazifai (hata kama zinafaa) ili tu wafanyakzi wafanye biashara? Watoe specifications za picha zijulikane na kama picha hai-meet specifications basi mteja aambiwe alete nyingine. TANESCO kuna malalamiko ya msingi huku.
 
Kama anafanya mambo kama hayo, unaweza kupata picha mangapi mengine hatuyajui anayofanya
 
Kuna haki ya kusikiliza upande wa pili na uchunguzi hivyo tumelipokea kwa kulifatilia wakati mwingine unakuta mtu katoa fedha kwa kishoka asiye mfanyakazi wa TANESCO ndio maana tunasisitiza kuchunguza
vishoka wapo?Wanafanya kazi gani hawa vishoka?
 
Ila Mkuu una komaa na Tanesco aisee.

Thread 'Tanesco kwenye kalenda yao wametumia picha ya mji unaowaka taa ulaya kufikisha ujumbe Wa "Tunaangaza maisha yako"' Tanesco kwenye kalenda yao wametumia picha ya mji unaowaka taa ulaya kufikisha ujumbe Wa "Tunaangaza maisha yako"


Thread 'TANESCO Kigamboni ni kama imetelekezwa, majibu ya wafanyakazi yazua taharuki kwa wateja' TANESCO Kigamboni ni kama imetelekezwa, majibu ya wafanyakazi yazua taharuki kwa wateja


Thread 'Ikiwa mimi nazalisha matofali kusubiri wateja: kwanini TANESCO haina vifaa vya mteja aliyelipia?' Ikiwa mimi nazalisha matofali kusubiri wateja: kwanini TANESCO haina vifaa vya mteja aliyelipia?


Aisee au ni TANESCO wana ID mbili. Manake in JF everything is possible.

🤣🤣
 
Ngoja Tanesco waje kukutatulia tatizo lako Kwa kukuomba location...
 
Kuna watu huwa hawajui hata haki ni nini na wajibu nini, ni kama bendera fuata upepo
 
Sasa kama wafanyakazi wenu Tunaowaamini ndiyo wanafanya hayo! Sisi wananchi tufanyeje! Maana chochote tunachoambiwa ndani ya ofisi yenu lazima tunawaamini?
Acha tabia za Uchonganishi na wanga mkuu. Kwani mtu mzima kabisaaa umesubiri umeme wa bei Kitonga ndio umfungie mdogo wako Nishati! Vitu vingine havina hadhi ya kunadiwa JF maaana are tooo minor
 
Kuna haki ya kusikiliza upande wa pili na uchunguzi hivyo tumelipokea kwa kulifatilia wakati mwingine unakuta mtu katoa fedha kwa kishoka asiye mfanyakazi wa TANESCO ndio maana tunasisitiza kuchunguza
Msimfukuze dada wa watu ajira zenyewe ngumu jamani 🐒
 
Acha tabia za Uchonganishi na wanga mkuu. Kwani mtu mzima kabisaaa umesubiri umeme wa bei Kitonga ndio umfungie mdogo wako Nishati! Vitu vingine havina hadhi ya kunadiwa JF maaana are tooo minor
Kwahiyo sikutakiwa kuomba lisiti ya picha? Si tunaambiwa tudai lisiti ya kila huduma?
 
Dah aisee watu wengine bwana. Ww ilitakiwa uende na passport yako lkn yy kakusaidia kuipata, ila tena msaada wake umegeuka kua kitanzi.

Labda nikuulize; je unafahamu kua picha husafishwa kwa wino unaohitaji kununuliwa? Ulitaka upewe bure?

Ama kweli tenda wema nenda zako.
 

Chief jitahidi sana kusoma na kuelewa kabla ya kutoa maoni yako.
 
Kinapenda rushwa hicho kidada nakifahamu nadhani ni njau huyo mchaga.
 
Da. Jaribu angalau kutafakari kabla hujachangia basi!
Kwamba upo sahihi sana?

Nenda katafute Uzi uko hapa JF kuwa usijaribu kumshtaki mfanyakazi wa serikali kwa boss wake.
Utafurahi mwenyewe.

Serikali sio kampuni ya wahindi

Ma HR mmeshazoea kupeleka umbea kwa maboss kufukuzisha watu kwa mambo ya kijinga.

Hapo kapigwa picha na vishoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…