Msemajiwao
JF-Expert Member
- Sep 12, 2016
- 679
- 1,692
- Thread starter
-
- #81
Njia rahisi zaidi nikuwabana staff wenzake waliojilani naye! Kuwahoji kwa siri waeleze huyo dada ameanza lini hiyo biashara ya kusafisha picha, na anatumia mashine gani! # TANESCOUsiwafundishe TANESCO kazi. Wanajua wanachokifanya!
Wao ndio wanalo file la huyo dada. Je kama ameshapewa maonyo kadhaa?? Bado waendelee kumuonya tu??
Tusaidie kulipata jina lakeYote kwa yote, sidhani kama ni sahihi kumuita mwanadamu mwenzio "Kile Kidada Cheupe nani anakipa jeuri"
We mkuu una chuki binafsi, pale utaratibu Ni kwamba unaenda na picture passport size moja, na kitambulisho chochote,Kama mwezi hivi umepita!
Baada ya kusikia bei ya umeme imeshuka, Nilimtuma mdogo wangu kuomba umeme pale afrikana Tanesco!
Kwasababu nyumba ile anaishi mdogo wangu, hivyo nikamwambia aingize umeme kwa jina lake!
Dogo alipofika pale ili kuchukua fomu, Alikikuta kidada cheupe hivi kina nywele nyingi kichwani, kikamwambia dogo atoe hela ili kimpige picha ya passport! Dogo kwasababu kilimwambia picha alokuwa nayo haifai! (Hakijasema haifai kivipi)
Dogo akakubali kupigwa hiyo picha, Hicho kidada kikampiga picha dogo kwa simu pale dirishani na kuisafisha mle mle ndani ya ofisi ya umma!
Dogo alipoomba kupewa ile fomu, kile kidada kikamwambia atoe hela ya picha kwanza!
Dogo akatoa pesa pale dirishani lakini hakupewa listi yoyote ya ile pesa,
Baadae akanipigia simu kunielezea ilivyokuwa nikashangaa! Inakuwaje mfanyakazi wa umma anakuwa na ujasiri wa kiwango kile!
Nikamwambia dogo aulizie namba ya meneja pale ili nipate kumuuliza vyema,
Nikabahatika kumpigia simu yule meneja, lakini ajabu akasema wazi malalamiko ya hicho kidada hata yeye yanamkera kashakionya Mara kadhaa lakini yanajirudia!
Nikauliza mbona nimetozwa pesa ya picha katika ofisi ya Tanesco hapo afrikana pasipo kupewa lisiti? Yule meneja akasema atalifanyia kazi,
lakini ajabu hadi Leo sikupewa taarifa yoyote na malalamiko nilimfikishia!
Sasa nikajiuliza, kama mambo kama hayo kile kidada kimenifanyia Mimi hivyo.
Je ujasiri huo wa kupiga picha kwenye ofisi ya umma kimewafanyia watu wangapi?
Ina maana kinafanya biashara ndani ya ofisi ya umma?
ujasiri ule nani anakipatia?
Pia kama meneja alinijibu kuwa taarifa na malalamiko ya huyo mfanayakazi ni mengi na kashamuonya Mara kadhaa lakini haachi, je hicho kidada kinapewa jeuri hiyo na nani?
TANESCO YETU embu fuatilieni mtuambie hicho kidada cheupe chenye nywele nyingi pale mapokezi Tanesco mbezi beach afrikana kimewekwa pale na nani hadi kiwe jeuri namna hiyo?
Kinafanyia hivyo watu wangapi?
Una uelewa mdogo sana! Soma ueleweWe mkuu una chuki binafsi, pale utaratibu Ni kwamba unaenda na picture passport size moja, na kitambulisho chochote,
Hawapigi picha mne ndani mkuu
Ushahidi wa yeye kuchukua hiyo pesa unayo?Tena ilinisikitisha sana, na nitahakikisha nafuatilia ili nipate na jina ikiwezekana na picha ya hicho kidada #TANESCO
Mkuu unatafuta ugomvi na watu weusi hahaha!Kishoka hawezi kuwa mweupe acha siasa
Haya uliyo-comment ni tofauti kabisa na ulichosema mwanzoni.Kwamba upo sahihi sana?
Nenda katafute Uzi uko hapa JF kuwa usijaribu kumshtaki mfanyakazi wa serikali kwa boss wake.
Utafurahi mwenyewe.
Serikali sio kampuni ya wahindi
Ma HR mmeshazoea kupeleka umbea kwa maboss kufukuzisha watu kwa mambo ya kijinga.
Hapo kapigwa picha na vishoka
Unajua madhara ya kuruhusu mambo kama haya?Kweli vyuma vimekaza ,hela ya passport tu unampigia meneja?
Swali ambalo linahitaji Majibu kabla ya kukuunga mkono ama kukupinga ni je,
TANESCO wanatoa huduma ya kupiga picha wateja wapya iwe Kwa kulipia ama bure? Au ni mteja anatakiwa aje na picha zake?
Kama mteja anatakiwa aje na picha zake (Yani aambatanishe ktk fomu ya maombi) na huyo mdogo wako hakufanya hivyo ama aliambatanisha isiyotakiwa basi huyo mrembo Hawezi kumpa risiti kwasababu hiyo ni "kamradi"kake binafsi ka kusaidia wateja wasisumbuke kwenda studio na sio sera ya Ofisi
Kaka. Vishoka wanaingia mpaka ndani siku hizi?Kuna haki ya kusikiliza upande wa pili na uchunguzi hivyo tumelipokea kwa kulifatilia wakati mwingine unakuta mtu katoa fedha kwa kishoka asiye mfanyakazi wa TANESCO ndio maana tunasisitiza kuchunguza
Mutu mweusi akiwa na kacheo,,tena ofcn dunia yote yake mzehe,,,huwa wanakaushamba flani ivi π€£ wanawaona wengine wajinga wajinga na dharau juuu. Sio wote.
Mhindi na mwafrika baba mmoja, mama mmoja πππππ kuna wanao jitambuwa.
mkuu utakuwa umejawa roho ya umaskini. na lazima wewe ni wa kwanza kwenye familia au ukoo wenu kujenga mjini. hivi ni vitu vya kulalamika dada? hata huyo ndugu yako kazi anayoKama mwezi hivi umepita!
Baada ya kusikia bei ya umeme imeshuka, Nilimtuma mdogo wangu kuomba umeme pale afrikana Tanesco!
Kwasababu nyumba ile anaishi mdogo wangu, hivyo nikamwambia aingize umeme kwa jina lake!
Dogo alipofika pale ili kuchukua fomu, Alikikuta kidada cheupe hivi kina nywele nyingi kichwani, kikamwambia dogo atoe hela ili kimpige picha ya passport! Dogo kwasababu kilimwambia picha alokuwa nayo haifai! (Hakijasema haifai kivipi)
Dogo akakubali kupigwa hiyo picha, Hicho kidada kikampiga picha dogo kwa simu pale dirishani na kuisafisha mle mle ndani ya ofisi ya umma!
Dogo alipoomba kupewa ile fomu, kile kidada kikamwambia atoe hela ya picha kwanza!
Dogo akatoa pesa pale dirishani lakini hakupewa listi yoyote ya ile pesa,
Baadae akanipigia simu kunielezea ilivyokuwa nikashangaa! Inakuwaje mfanyakazi wa umma anakuwa na ujasiri wa kiwango kile!
Nikamwambia dogo aulizie namba ya meneja pale ili nipate kumuuliza vyema,
Nikabahatika kumpigia simu yule meneja, lakini ajabu akasema wazi malalamiko ya hicho kidada hata yeye yanamkera kashakionya Mara kadhaa lakini yanajirudia!
Nikauliza mbona nimetozwa pesa ya picha katika ofisi ya Tanesco hapo afrikana pasipo kupewa lisiti? Yule meneja akasema atalifanyia kazi,
lakini ajabu hadi Leo sikupewa taarifa yoyote na malalamiko nilimfikishia!
Sasa nikajiuliza, kama mambo kama hayo kile kidada kimenifanyia Mimi hivyo.
Je ujasiri huo wa kupiga picha kwenye ofisi ya umma kimewafanyia watu wangapi?
Ina maana kinafanya biashara ndani ya ofisi ya umma?
ujasiri ule nani anakipatia?
Pia kama meneja alinijibu kuwa taarifa na malalamiko ya huyo mfanayakazi ni mengi na kashamuonya Mara kadhaa lakini haachi, je hicho kidada kinapewa jeuri hiyo na nani?
TANESCO YETU embu fuatilieni mtuambie hicho kidada cheupe chenye nywele nyingi pale mapokezi Tanesco mbezi beach afrikana kimewekwa pale na nani hadi kiwe jeuri namna hiyo?
Kinafanyia hivyo watu wangapi?
Nimeulizia jina naambiwa kinaitwa #doricUnasema ana nywele nyingi za wapi kichwani au?
Kama ni nywele za kichwani ni
zake au wigi?
Simu yake ya nini tena? ndio mambo ya kulindana yanaanza hivi. Umepewa malalamiko yafanyie kazi. Mbona kwenye sanduku la maoni hamna anayejitajaTunashukuru sana kwa taarifa tunaipokea kwa hatua zaisi tafadhali tusaidie namba yako pm tuifatilie
Hahahaa! Saivi wameomba namba ya simu tuNgoja Tanesco waje kukutatulia tatizo lako Kwa kukuomba location...
Kishoka hawezi kuwa mweupe acha siasa
Kumbe ni kishokaπππKuna haki ya kusikiliza upande wa pili na uchunguzi hivyo tumelipokea kwa kulifatilia wakati mwingine unakuta mtu katoa fedha kwa kishoka asiye mfanyakazi wa TANESCO ndio maana tunasisitiza kuchunguza