Kuna kidada cheupe pale TANESCO Mbezi Beach Afrikana nani anakipa jeuri namna ile?

Umeona ugumu gani kuandika Dada badala ya kutumia neno la dharau "kidada"

Wata meneja akupigie simu akwambie amemchukulia hatua gani, itakusaidia nini?
 
"Lisiti", "lisiti". Utakufa kwa presha bure wewe sababu ya buku 3 za picha. Ungezuiliwa ofisi ya umma sababu huna barakoa, askari getini akakuuzia barakoa ya buku, utadai risiti?
 
Ngoja nikakaone hako kadada kenye nywele nyingi arafu keupe, maana mimi ni msukuma weupe ndo twawatafuta sana hata sijui kwanini? Huu mguu kwako mdada mweupe sina ubaya na wewe nimambo mzuri tu
 
Mtamkumbuka magufuli
 
Mkuu mambo mengine mjini yaache yakupite kitu cha 2000 tu unalalama hivyo
Binadamu wote hatuko sawa.

Tunatofautiana kwa makuzi, vipato, na tabia.

Inaonyesha kwake buku 2,000 ni nyingi sababu ukiangalia anaishi Mbezi amekaa muda mrefu bila kulipia umeme kwa bei zilizokuwepo baada ya bei kupunguzwa na kuwa 27,000 ndio akawa na uwezo wa kulipia.
 
Hii nchi shirika la umma ninalolikubali bila kujali mapungufu yao ni TANESCO, Wapo very responsive ukihitaji msaada kutoka kwao, Hongera kubwa kwao[emoji120]

cc. TANESCO
 
Hii nchi shirika la umma ninalolikubali bila kujali mapungufu yao ni TANESCO, Wapo very responsive ukihitaji msaada kutoka kwao, Hongera kubwa kwao[emoji120]

cc. TANESCO
Kagera huko kibanda cha mlinzi wamejenga kwa 7m,ukuta 90m,jengo kuu zaidi ya 200m dah hawa jamaa Mungu anawaona wanavozifanyia tozo zetu..
 
Acha ushamba wewe mbona kuonga tunatoa tuu Sasa picha kwani Ni sh ngapi? Vijana wa siku hizi bhana
 
Mkuu ukute kimekupiga kibuti, maana si kwa kunguni hizi.....
 
Huyo uliyeongea naye ndiye anayempa ujasiri, au jeuri, vyovyote utakavotaka kuita. kakutoa pembeni tu kuwa atafuatilia, wote wananufaishana kwa vitendo vya huyo dada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…