Kwanza poleni sana kwa msiba huu. Kifo chochote kinapotokea, ujue hiyo ndio ilikuwa siku yake na hivyo ndivyo alivyopangiwa, inasemekana malaika mtoa roho, Israel anampitia kila mtu kwa saba mara sabini daily ili muda wako ukifika asipitishe hata nukta 1!.
Ila pia wakazi wa huko nanyi, kuku watu wanatakiwa kula nyama, na ukitafuna mfupa unatema, ili kuthibitisha marehemu ni siku yake ilifika, yeye akatafuna mfupa na kumeza!.
Hapa nakuunga mkono, tena Chalinze wana bahati sana, hata kampuni ya simu ya Halotel imewafungia wananchi wa Msoga Public WIFi ya bure, kuja kuangalia simu zao ni simu za vitochi!.
Maendeleo ya kweli ni kufanya kitu kitakacho wanufaisha wengi na kuchochiea maendeleo ya watu, saving people's lives was not on the picture at that moment, hivyo that was an oversight, to start with asubuhi hii, atahamisha lile generator lake personal la 12KVA na kulifunga hapo hospital as a temporary standby generator ili kuokoa jahazi wakati a proper one linashughulikiwa.
Itakuwa ni kuwaonea bure, usikute muuaji ni yule kuku maana maeneo hayo sii mchezo, usikute huyo kuku hakuwa kuku kuku alikuwa ni kuku 'kuku' hivyo baada ya kumgeuza kuku wakaamua mumchinja kwa kumdhania ni kuku kuku tuu, hivyo 'kuku' akaondoka na mtu!, sasa subiria hizo pilika za usiku!.
Hapa pia naunga mkono objectivity yako, kiukweli kabisa Tanzania tuna tatizo na upangaji wa vipaumbele vyetu na sio hapo tuu,
Tanzania bado tuna tatizo la upangaji vipaumbele vyetu, baada ya Elimu, Afya na kilimo, ilipaswa ije nishati!. Ni aibu na hatari kupikia kuni na mkaa!
naunga mkono hoja, that was mistake ila sio wauaji, muuaji ni ama kuku au mwenye kuku.
Naunga mkono hoja.
Siku ikifika ni imefika!, hata kama ni hakuna sababu, sababu itatafutwa!.
Ujumbe utamfikia fasta tuu.
asante kwa uzi huu
Pole sana kwa wakiwa
RIP Marehemu
P